Wednesday, November 14, 2012

JE UNAPENDA KUJUA KAZI ANAYOFANYA PETER MSECHU NCHINI MAREKANI? TAZAMA HII



0
Ni muda mrefu kidogo umepita sasa hivi toka mwimbaji Peter Msechu aanze kukaa na kufanya kazi nchini Marekani, kazi yake kubwa ni kufanya muziki kwenye band ya wazungu ambao wanazunguka sehemu mbalimbali za Marekani kupiga live shows ambazo zinavionjo vya kiafrika, Msechu ni sehemu ya hiyo band.
Hapa ni nyumbani anapoishi Msechu ambae ni mshindi wa shindano la Project fame, hapa panaitwa Minneapoliss Minneisota Marekani na huyo mtoto hapo anasomea muziki shuleni ambapo baada ya masomo anafundishwa na Msechu kupiga muziki wa kiafrika kama rhumba na zhouk.

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...