Tuesday, October 30, 2012

Usafili wa Treni Jijin Daresalam

mtazamo wangu juu ya kuanzishwa kwa usafili wa treni jijin Daresalaam, ni moja ya hatua ya mafanikio na sherikari naipongeza kwa hili. lakin wasiwasi wangu ni palee tu watakapo ingia akina chukua chako mapema je treni hizi zitadum kwa mda gani? isije kuwa sawa na mradi wa UDA ulivyo yoyoma kama upepo na sasa ni story tu

vip ukichaguliwa kuwa mmoja wa tume ya kuunda katiba utafanyaje kw manufaa ya Tanzania ya kesho?


tanzania ya kesho at tanzania ya kesho - 17 minutes ago
Naamu watanzania wenzangu habari za mishuhuriko ya hapa na pale katika kujipatia chochote kitu na ujenzi wa taifa kwa ujumla, Leo nataka kujua kama watanzania na vijana wa taifa la sasa na kesho, iwapo utapata fursa ya kuteuliwa kwenye tume ya Rais katika kukusanya maoni kwa ajili ya katiba mpya utawasaidiaje wa tanzania kuwasilisha maoni yao? au utatumia nafasi hiyo kujipatika kipato kwa ajili ya njaa ya leo nakusahau watanzania wenzako wa kesho?

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...