Monday, April 1, 2013

AGNESS MASOGANGE ATUPIA PICHA INSTAGRAM, AKIWA ANAFANYA MAMBO YA KIKUBWA NA MPENZI WAKE, TAZAMA PICHA HIZO HAPA



Baada ya ukimya wa muda mrefu sasa Agnes Masogange inaelekea alimiss sana kuandikwa kwenye mitandao ya kijamii. Kudhihirisha hilo ameamua kutupia picha katika mtandao wa instagram akiwa na mpenzi wake wakiwa wanafanya mambo ya kikubwa. What is the meaning of this kama sio kutaka kuandikwa na wadaku katika vyombo vyao vya habari?????????? Ushauri wangu kwake, atafute kitu productive, aandikwe kwa mazuri na sio huu upuuzi anaofanya....naamini akifanya jambo jema pia ataandikwa, na huo ndio umaarufu mzuri, sio kuachia picha za uchi uchi na za ngono

Ni hayo tu......

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...