Saturday, April 6, 2013

HUU NI UKWELI JUU YA STORY ZA KUTOKUWEPO NA KUWEPO KWA MAELEWANO BAINA YA OMMY DIMPOZ NA T.I.D. BOFYA UJUE UNDANI WAKE


t.i.d kapiga picha na Ommy Dimpoz Maisha Club usiku april 5 2013 asema hakuna beefkama umekua ukiwafatilia hawa mastaa wawili, stori kwamba hawapatani toka Ommy Dimpoz alipoondoka Top Band itakua sio mpya kwako.
Ommy ameripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari kwa muda mrefu kutokua na uhusiano mzuri na T.I.D toka alipotoka kwenye hiyo band.
T.I.D Ommy na Mwisho Mwampamba.
T.I.D Ommy na Mwisho Mwampamba.
Baada ya hayo yote, jana April 5 2013 T.I.D akiwa Maisha Club sehemu ya V.I.P alimuita Ommy Dimpoz na kupiga picha ya pamoja kabla ya kuongea na HANSMBEDULE BLOG na kufuta sumu iliyoenezwa kwenye headlines kwa kipindi kirefu.
Kwenye interview hiyo ambayo itasikika pia kwenye AMPLIFAYA ya CLOUDS FM jumatatu April 8 2013, T.I.D amesema “watu wengi wananiona mimi ni Mkorofi lakini niko tofauti sana na wanavyofikiri, sikuwahi kuwa na ugomvi na Ommy, nimekaa nae kwa miaka minne….. taarifa za beef ni za watu tu walioamua kuniharibia tu lakini niko poa na Ommy”

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...