Tuesday, April 9, 2013

WOLPER APANGA KUWACHANGANYA WASANII WENZAKE, HIKI NDICHO ALICHOPANGA KUFANYA, BOFYA LINK UPATE UNDANI ZAIDI



Msanii nyota wa tasnia ya filamu Bongo, Jack Wolper 
JACK Wolper, msanii nyota katika tasnia ya filamu Bongo, ameibukia katika filamu ya 'Mahaba Niue' na kusema kuwa amedhamiria kuwachanganya wasanii wenzake yaani Mboto na Rado, kwa lengo la kuendelea kushika namba moja katika waigizaji bora wa kike. 

Nimejipanga kufanya kazi ya kuandika historia na bado wapenzi wa filamu waamini kuwa kweli mimi ni bora nisiyebahatisha katika sanaa," alisema. 

"Hilo unaweza kuliona katika filamu ya Mahaba Niue ya Rado nilivyofanya kweli mwanzo mwisho, ninaigiza na kutayarisha filamu zangu pia." 

Filamu ya Mahaba Niue imeandaliwa na mwigizaji wa filamu Rado na kuwashirikisha wasanii kama Mboto, Wolper, Rado pamoja na mwanamuziki na mwigizaji wa filamu kwa sasa H BABA

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...