Thursday, May 9, 2013

BREAKING NEWS:MAHAKAMA YA RUFAA IMEMREJESHEA UBUNGE WA IGUNGA DR.DALALI PETER KAFUMU


                     DK. DALALY PETER KAFUMU -Igunga(CCM).
Habari zilizotufkia hivi punde zinasema kwamba Mahakama ya Rufaa leo hii imemrudishia Ubunge DK. DALALY PETER KAFUMU -Igunga(CCM).

Mahakama Kuu Kanda ya Tabora ilimvua Ubunge Dk. Kafumu baada ya madai ya kukiuka utaratibu wa Uchaguzi wakati wa Kampeni katika Kesi iliyofunguliwa na Mwl. Joseph Kashindye aliyekuwa Mgombea kwa tiketi ya Chadema.

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...