Thursday, May 9, 2013

SUKARI YA WAREMBO DIAMOND ASHINDILIWA VIUNGO NA WAREMBO MPAKA AZIMIA JUKWAANI KWENYE SHOW YA READING UINGEREZA



 


Mwaona sasa ,yani hata mimi nilikimbia kwenda kutaka kujua kama Diamond hapo chini yupo powa ila palikuwa hapatoshii ''pakupitia hadi kumfikia' but baada ya muda kidogo aliamka na kuendelea kuwapagawisha walofika kusema kwa heri kwenye Show yake ya mwisho Reading UK Jumapili tarehe 05-05-2013'ona vile wengine walipakia kuhuzunika gafla 'na mwengine akimshika mjuu' He is ok 'ona huyo Dada Mrembo wa pili kulia anavyo furahi baada ya kumshika Diamond mguu na kushuhudia kwamba yupo powa kwa kicheko chake hapo"

HAWA NDO WALIYOMSHINDILIA DIAMOND VIUNGO AINA ZOTE HADI KUZIMIA STAGE SHOW YA MWISHO YA DIAMOND IN READING UK' 05-5-2013 NDANI YA FACE BAR

 KUDADADEKI MDADA HUYU NI HATARIIIIIII" MBUTA NANGA" HABARI ZAKE NITAWALETEENI SOON BAADA YA KUWARUSHIENI MAMBO YOTE YA USIKU WA SHOW YA DIAMOND IN UK'READING PAMOJA NA NEXT DAY AT CROWN PLAZA !




 MBUTA NANGA" MBUZI NI YA NINI KAMA SIYO YA KUKALIWA NA KUKUNA NAZI''

 WEWE CHEKA TU DANCER WETU KWANI KUFANANA NA DIAMOND KUZURI JE"ONA DIAMOND HAPA NA KIFUA CHAKE WAZI YANI FULL TOCHI KUMULIKAAAA''MBUTA NANGA!!




 JAMANI MPENI VIUNGO TARATIBU KWANI ANAWEZA KUZIMIA STAGE BUREE"



 KUDADADEKIIIIIIIIIIIIIIII'''NIMT*MBE NANI ''X2 a.k.a. NIMPENDE NANI " HAHAHAAA' WATU WALIANZA KUSEMA WEMAAAAA,WEMA'WEMAAA!!


















 MWAUONA HUO ULIMI,ALAMBA ,ALAMBA TENA''X2'MBUTA NANGA!!
 NILIKUWA NA JIPEPEAJEAJE HAPA BAADA YA JOTO KUZIDI MLE NDANI"



Chanzo:Flora Lyimo Blog

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...