Sunday, November 13, 2016

MUNGU HAKUUMBA MASIKINI, KWA NINI WEWE MASIKINI?



Mungu alipomuumba binadamu, hakusema kwamba anamuumba akiwa tofauti na mwingine. Leo, unaponiona mimi, nina moyo mmoja, nina figo, ini, kichwa, macho kama wewe.

Sikuzaliwa nikiwa na magari, sikuzaliwa nikiwa na fedha, nilizaliwa kwenye familia masikini sana, inawezekana ilikuwa masikini hata zaidi ya familia yako.

Baba yangu akanifundisha kuhusu biashara na kila siku akaniambia kwamba kama nitakuwa mfanyabiashara mkubwa, basi natakiwa niwe na nidhamu ya fedha.

Ni mara ngapi umekuwa ukipokea fedha na kuzitumia katika vitu visivyo na maana? Ni mara ngapi umepokea fedha na kusema kwamba kiasi hicho ni kidogo na hakiwezi kukufanya kuwa milionea?

Ndugu zangu! Hakuna bilionea aliyeanza kuwa bilionea kwa kupewa mamilioni ya shilingi. Wapo mabilionea waliopewa laki moja na mwisho kuwa mabilionea.

Wengine walikuwa mafundi wa viatu, mwisho wa siku ni mabilionea wakubwa. Tangu lini fundi viatu akawa na kiasi cha shilingi milioni moja kuanzia maisha? Ni lazima atakuwa na shilingi elfu hamsini, hizohizo akajichanganya, akazipanga na mwisho wa siku akawa bilionea.

Wewe unapata milioni moja, bado unasema ndogo, unapata elfu hamsini, bado unasema ndogo. Ndugu yangu, Mungu anapotaka kukufanya bilionea, hakupi milioni mia moja moja, anakupa kiasi cha chini ili utakapokuwa bilionea uwe na ushuhuda wa kutosha.

Mungu anataka utakaposimama useme kwamba ulikuwa na elfu thelathini, ikabadilisha maisha yako na mwisho wa siku kuwa bilionea. Mungu hakupi milioni mia moja ghafla kwa kuamini kwamba ukipata hiyo, utawaambia watu kuwa ulipata milioni mia moja na baadaye ukawa bilionea.

Ni kiasi kikubwa sana, utawavunja moyo watu wengine kukipata, lakini ukisema kupitia shilingi elfu kumi nikawa bilionea, ni kiasi kidogo sana ambacho mtu anaweza kupambana na kukipata kisha kubadilisha maisha yake.

Ndugu yangu, kumbuka kwamba nilikuja Dar nikiwa sina kitu. Sikuwa na fedha ya kutosha mfukoni, sikuwa na sehemu ya kulala, hakukuwa na mtu aliyenifahamu, nililala kwenye kituo cha mabasi ya mkoa kipindi hicho pale Kisutu, lakini pamoja na hayo yote, bado maneno ya baba yangu kunitaka niwe mfanyabiashara mkubwa yalinirudia kichwani mwangu.

Maneno hayo yakaniongoza, nikawa naamini kwamba kuna siku nitakuwa mfanyabiashara mkubwa. Sijisifii bali ninataka ubadilishe maisha yako kupitia maisha yangu, wewe uliyekata tamaa, ujue kwamba kama ukipanga mikakati yako basi utafanikiwa.

Najua unaweza kuchukua hatua, kuna watu watakwambia, utawezaje? Mbona baba yako alishindwa? Mbona mama yako naye alishindwa? Kuna ndugu yako anajiweza kifedha? Mtu akikwambia hivyo au hata ukiisikia sauti inakwambia hivyo, wajibu kwa kuwaambia, baba yangu hakuweza, mama hakuweza, ila rafiki yangu Shigongo aliweza! Kama yeye aliweza, kwa nini mimi nishindwe?

Kama mtu wa elimu ya darasa la saba aliweza, kwa nini mimi na elimu yangu nishindwe? Kwa nini yule mtoto wa masikini kuliko wazazi wangu aliweza halafu mimi nishindwe?

Huwezi kushindwa rafiki yangu. Nakuambia tena kwamba HUWEZI KUSHINDWA. Unachotakiwa kufanya ni kuamini kisha anza kufanya huku ukimtanguliza Mungu mbele.

Mungu hana ndoto za wewe uwe masikini. Mungu hapendi umasikini, anachotaka na wewe uendeshe magari, uwe na nyumba zako, hoteli kubwa, ila kinachokufanya kuwa masikini ni kutokujiamini kwako. Unahisi kushindwa hata kabla hujaanza safari.

Utakapoanza, wapo watakaokukatisha moyo, usiwasikilize, wewe songa mbele. Kwenye safari ya mafanikio, tuna maadui wengi mno kuliko marafiki. Labda rafiki unayempenda, unayemuona yupo bega kwa bega nawe leo ndiye huyohuyo atakayetaka kuona hupigi hatua baadaye.

Ndugu yangu! Umeumbwa kwa mfano wa Mungu! Unalijua hilo? Kabla ya wewe kuumbwa, Mungu alikutana na malaika na kusema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Wewe ni mfano wa Mungu na ndiyo maana unaona, unasikia, unaumia na kufurahi.

Huwezi kushindwa hata mara moja. Inuka ulipo, simama na piga hatua na ninaamini utafika unapotakiwa kufika.

MUNGU AKUONGOZE. TUKUTANE JUMAMOSI KWA MAKALA NYINGINE YA KUKUTOA HAPO ULIPO. USIKOSE KUSHARE ILI MARAFIKI ZAKO NAO WAJIFUNZE. KAMA NILIVYOJITOA KUKUFUNDISHA BURE, JITOE KWA KUWASHIRIKISHA WENGINE UJUMBE HUU KWA KUSHARE. ASANTENI.

E.J SHIGONGO

Saturday, November 12, 2016

otuba ya ndugu Kiongozi wa ACT Wazalendo katika Kikao Maalumu cha Bunge cha Mazishi ya Spika Mstaafu, Samwel John Sitta

Tangulia Spika wa Bunge la Wananchi

Hotuba ya ndugu Kiongozi wa ACT Wazalendo katika Kikao Maalumu cha Bunge cha Mazishi ya Spika Mstaafu, Samwel John Sitta

Ndugu Spika,
Ndugu Wabunge,
Mama Magreth Sitta,
Watoto wote wa Mzee Samwel John Sitta, Ndugu, Jamaa na Marafiki,
Ndugu zangu Watanzania,

Leo kikao maalumu cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika Mkutano wake wa Tano kinamuaga mtoto wa Mzee John Sitta na Hajjat Zuwena Said Fundikira. Nami nimepewa nafasi niseme maneno machache kuhusu mzee wetu huyu tunayemuaga.

John Samwel Sitta anayo mengi, lakini Tanzania itamkumbuka kama mtu aliyejaribu kuboresha kila alichokabidhiwa kama jukumu, shujaa wa wote wanaoamini katika Uwajibikaji wa kitaasisi, Mwanasiasa aliyepanda na kushuka na kisha kupanda na kubakia kileleni, taswira ya mkoa wake wa Tabora, sio tu mdhamini wa klabu ya Simba, bali pia Mwanasimba aliyeipeleka klabu Brazil na kuwezesha kuifunga Yanga mabao mengi zaidi ambayo hayajapata kulipwa na wapinzani wetu hata kwa kuungakuunga, Mwanamageuzi wa Bunge na Spika wa mioyo ya Watanzania.

Hata katika kifo chake, Samwel John Sitta ameweka rekodi nyengine - kwa Bunge kufanya kikao maalumu kuenzi mmoja wa wajumbe wake mahiri kati ya mwaka 1975 - 2015 isipokuwa tu kwa kipindi cha 1995 - 2005. Rekodi hii itaendelea kwa wengine wote watakaofuata baada yake.

Ni mtu wa namna gani wewe Samwel Sitta? Spika wa Kasi na Viwango, unayeweka rekodi hata ukiwa umelala ndani ya Jeneza lako lililopambwa na Bendera ya Taifa letu ukielekea nyumbani kwako Urambo kwenye nyumba yako ya milele. Ulikuwa hushindwi ukiwa hai, umeonyesha umahiri wako hata ukiwa kwenye umauti. Kweli wewe ni Spika wa Watu (The Peoples Speaker).

Tuliokupenda tunajua. Ulikuwa Baba mlezi. Ulikuwa Mume mwema. Ulikuwa Babu. Ulikuwa Kiongozi. Nadhani hata kwa uliokwaruzana nao hapa na pale wanajua hilo. Leo sote tuna majonzi makubwa. Umeliunganisha Taifa katika kukukumbuka ewe Spika wa Watu.

Ulikuwa na vyeo vingi; Mbunge, Naibu Waziri, Waziri, Mkuu wa Mkoa, Waziri tena, Mkurugenzi Mtendaji, Spika, Waziri tena na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba. Lakini, wala, tunakuita Spika Sitta tu. Kwanini? Kwa sababu 'Legacy' yako ni Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sio kwamba umeanzisha Bunge wewe, la hasha. Lakini ulipopokea Uspika wa Bunge letu, kama ilivyo jadi yako, uliliboresha, uliwezesha kutunga kanuni mpya, uliimarisha Mhimili huu na kuuweka katika nafasi yake ya Kikatiba.

Nakumbuka siku moja ulimwomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aongee na baadhi yetu, ilikuwa mwaka 2006. Mimi nikiwa nina miaka 29 tu. Tukakutana na Rais ukumbi wa Msekwa. Baada ya kikao kilichofanikiwa kumshawishi Rais kuhusu mabadiliko uliyoyataka uliniambia;

"Babu, mimi sasa alasiri, ninyi ndio saa nne asubuhi. Nawawekea misingi tu na kuliweka Bunge katika nafasi yake ya kikatiba".

Kilichofuata ni mabadiliko makubwa ya Kanuni za Bunge, kuandikwa upya kwa Sheria ya Bunge (National Assembly Administration Act, 2008) na kuanzishwa kwa Mfuko wa Maendeleo ya Majimbo, Constituencies Development Catalyst Fund (CDCF).

Samwel Sitta, bado tunasikia mwangwi wa sauti yako nene kutoka kwenye kiti cha Spika ukiwataka Mawaziri wajibu maswali kwa ufasaha. Hukuisahau Tabora yako. Damu ya kichifu wa Unyanyembe ya Fundikira kutoka mama yako Zuwena ilikusambaa kwenye mishipa yako. Ukiona kuna swali linalohusu mkoa wako wa Tabora hukusita kuwaambia Mawaziri wajibu vizuri (haswa kuhusu barabara), au ukiamsha jeshi lako (akina Lucas Lumambo Selelii nk) wakisema "mheshimiwa Spika, wewe leo ukipata dharura Urambo unafikaje!". Yote hiyo kutilia nguvu umuhimu wa maendeleo ya mkoa wako.

Wewe ni kielelezo cha Demokrasia ya Vyama vingi bungeni. Ulitoa nafasi kwa wabunge wote wa kambi zote ndani ya Bunge. Hatusemi hukubagua, la hasha, uCCM wako ulikuwa pale pale. Lakini walio wengi walishinda na walio wachache walisikika. Ndio Demokrasia hiyo.

Sitta ulikuwa Muungwana. Nakumbuka siku ile unamwomba radhi Mzee John Momose Cheyo katika kamati ya Uongozi (baada ya kuwa ulimtoa kwa makosa bungeni), eti msongo wa mawazo ulikujaa kwani watu wanapitapita Jimboni. Lakini uliwashinda. Unyenyekevu wako wa kuomba radhi unapokosea ni somo kubwa sana kwa Viongozi wengine tuliobakia.

Wabunge wenzangu, tunataka kumuenzi Spika wa Watu - Samwel John Sitta? Basi hakuna kumuenzi bora zaidi kama kuimarisha uhuru na heshima ya Bunge letu.

Tuendeleze Jahazi.

Samwel Sitta anakwenda kwenye nyumba yake ya milele akiongozwa na imani yake kubwa kwa Mungu na uzalendo wake usio na mawaa kwa nchi yake Tanzania. Angalau bado ataendelea kuwa nasi kwa kutuachia mafundisho makubwa kutokana na Maisha yake, mambo mema aliyoyafanya kwa nchi yetu, ndoto aliyoiishi ya Tanzania imara na yenye heshima, na malezi kwa viongozi wengi vijana aliowafunda na kuwalea kiuongozi.

Ni dhahiri umeishi maisha yako Babu. Kama isemavyo biblia, 2 Timotheo 4:7 "Nimepigana Vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda".

Tangulia Spika wa Watu (The Peoples’ Speaker) Samwel John Sitta.

Mola akulaze pema.

Kabwe Z. Ruyagwa Zitto
Novemba 11, 2016
Dodoma

Friday, October 7, 2016

Mahaba ya bodaboda yule

"BODABODA YULE"
"Ilipoishia basi pale akanisogelea akaanza kuni..........."
                                Sehemu ya ( 2 )
 Akaanza kunishika kimahaba maeneo ya mgongoni kuja hadi kwenye kiuno mpaka makalio nikajikuta naangusha kanga niliyovaa , mikono ya bodaboda yule ilinisisimua na kuniingiza ktk ishia Kali za mapenzi nilijikuta nashindwa kujizuia hapo Rashidi alininyanyua hadi kitandani akaniacha kdg akashuka kitandani Mimi nikiwa bado cjielewi akaenda kuchukua asaliii,
   Nilimshaangaa asali ile ya nini , pale akaanza kunivua chupi yangu na kunipaka asali mwili wote kuanzia kwenye mdomo mpaka unyayo nilishikwa na butwaaa nilijiuliza sana analengo gani .
  Akaanza kunilama kimahaba xaxa alipofika kwenye kisimi , jamani raha jamani alinilamba mpaka ucngz ukaanza kuninyemelea .
  RASHID alichomoa dudu lake akaleta mdomoni nimlambe xaxa Mimi sikuwai kufanya jambo lile lkn kwakuwa nilimpenda ckujali yote no mapenz 2,
     Bas ctalehe ilikuwa nzur kwani alikuwa mbunifu Wa hali ya juu, alimaliza na kuanza kuniomba msamaha , samahani sana Stella ibilisi alinipitia ckutegemea kama yangetokea haya mmmh ucjali RASHID kawaida tu ata naomba unisamehe kwa yote niliyokufanyia .nilimuacha akipanda pikipiki yake namimi nikaludi ndani lkn alivyo ondoka tu maswali mengi nilibaki Nayo kichwani yule nani ana Malachi gani Kala ii nimetembea nae bas nilijikuta nakuwa mnyonge.
   Sasa miezi imepita tumengeneza uhusiano na bodaboda yule lkn cku moja shoga yangu Suzy alitamani amuone SHEMEJI take màana amechoka kumsikia kwenye simu na story zangu juu ya mapenz yake alikuwa na hamu ya kumjua , nikaona si mbaya kumtambulisha nilimpigia simu atufuate kazni .
"   Mbona umechelewa sana mpenz tangu mda ule au ulikuwa ktk mchepuko?" ni maneno ya Stella akimwambia RASHID , hapana wife nilichelewa foleni mmh niambie my wife , safi uyu pemben in rafki yang anaitwa Suzy na Suzy uyu ndo yule husband to be naimani shauku yako imeisha.....RASHID alinipakia na Suzy , Alianza kupanda Suzy na Mimi nikafuata safari ikaanza ..
  Wakat safali inaendelea Suzy alikuwa akimshika kiuno na kumtekenya RASHID nililigundua ilo baada ya kuniambia "acha utani bana Stella me ndo deleva tusijeanguka bure , mi cjamgusa .
  Alinipeleka hadi home nikashuka nikamuacha Rashidi anafikisha Suzy kwao , hakuwa mbali na kwangu me niliingia ndani nikapumzika kwa dakika baada ya muda kidogo nilishituka kuona SMS imeingia ikisomeka ivi" never chance come twice" SMS ikitokea kwa Suzy nilijiulza anamaana gani ckupata jibu nikafunga safar mpaka kwa Suzy wakat nakalibia naiona pikipk ya RASHID hash tangu mda ule RASHID ajaondoka anasubli nn sasa ckupata jibu nilishikwa na shauku yakujua nini kinaendelea nilifika mpaka mlangoni viatu vya bodaboda yule avikuonekana nje xaxa yupo nikazunguka dilishani maskini ya mungu Suzy ..........................itaendelea by .edwin

Jinsi ya kumfikisha mwanamke kileleni

MKOJOZE HARAKA      

Wanawake wengi wanapewa raha na utamu kila siku,lakini ni wanawake wachache sana wanaopata nafasi ya kufika kileleni.Hapa nitawaelezea njia za kuweza kumfikisha mwanamke kileleni kwa urahisi.

1: KUFIKA KILELENI KWA NJIA YA KISIMI.

Kumfikisha kileleni mwanamke kwa njia ya kisimi, ni pale ambapo hisia za raha ambazo ni zaidi ya kawaida,zinaanzia kwenye kisimi,zinatengeneza mawimbi ya utamu na kuyasambaza mwili mzima hadi kwenye ubongo.Kwenye uke wa mwanamke kuna sehemu kama 4 ambazo zimejaa nerves z inazosababisha mwanamke apate raha tena sana wakati wa kupeana raha na utamu,na mojawapo kati ya sehemu hizo 4 ni kisimi.Ingawa ni kweli kisimi ndio kimejaa raha na utamu,lakini wanawake wanatofautiana linapokuja suala zima la kumsisimua mwanamke kupitia kisimi chake.Wengine inabidi utumie nguvu kidogo,wengine kawaida na wengine taratibu kutegemeana na Unsensitive wa visimi vyao.

Ziko njia mbili za kumfikisha mwanamke kileleni kwa kutumia kisimi :-

A: KUTUMIA KIDOLE..

*Hakikisha vidole vyako ni visafi na kucha zako ni fupi sana.
*Kabla hujaanza kumsisimua kisimi chake,hakikusha ushatumia zaidi ya dk 10 kumsisimua maeneo mengine ya mwili wake kama vile matiti,lips,mapaja,makalio n.k ( Inatakiwa uke wake uwe umeloa kabla hata hujaanza kusisimua kisimi chake )
*Tumia majimaji ya uke kukiloanisha kidole chako kwani ukimchezea wakati uke wake ni mkavu utaishia kumuumiza badala ya kumpa raha.
*Anza kusugua kisimi chake taratibu huku ukiangalia kwa makini jinsi anavyopokea.
*Baada ya dk 1 ongeza speed kidogo kisha angalia jinsi anavyolipokea zoezi hilo.
*Usiongeze na kupunguza speed mara kwa mara unaweza ukampotezea mood ( Ataishia kusikia raha na utamu lakini hatafika kileleni )

*Sugua kisimi kwa mpangilio au direction inayoeleweka kwa zaidi ya dk 5 bila kubadilisha ili asipoteze mood katikati ya safari yake ya kufika kileleni ( kama ulikuwa unasugua kwa kutengeneza duara ) basi fanya hivyo mpaka dakika 5 ziishe,kama ulikuwa unasugua kutoka juu ya kisimi kwenda chini au chini kwenda juu,basi fanya hivyo mpaka dakika 5 ziishe ndio ubadilishe.
*Uvumilivu ndio siri ya mafanikio,kwa sababu mpaka afike kileleni ni baada ya dakika 10 au 15 kutegemeana na kisimi chake kipo sensitive kiasi gani au yeye mwenyewe ana hamu kiasi gani.
Njia ya pili ya kumfikisha kileleni kwa kutumia kisimi ni uhakika zaidi na ni shortcut zaidi kuliko hii ya kwanza.njia ya pili ni kwa kutumia ULIMI.....Endelea kufuatilia zaidi ujue jinsi ya kutumia njia hii.

Thursday, October 6, 2016

HATIMAYE YANGA YAKODISHWA MIAKA 10 KUPATA TAARIFA BOFYA LINK

Yanga-makao makuu
Baada ya kusubiri kwa muda hatimaye Bodi ya wadhamini ya klabu ya Yanga imesaini mkataba wa kuikodisha timu yao kwa kampuni ya Yanga Yetu Limited kwa kipindi cha miaka 10.
MUHTASARI WA MKATABA.
1. Bodi ya Wadhamini wa Young Africans Sports Club, (ambayo hapa inajulikana kama Mmiliki”) imeingia tarehe 3 September, 2016 Mkataba wa kukodishwa na kampuni ijulikanayo Yanga Yetu Limited (inayojulikana hapa kama “Mkodishwaji” kwa muhtasari wa maazimio yaliyoafikiwa katika Mkutano Mkuu wa Young Africans Sports Club uliofanyika tarehe 6 Agosti, 2016 ulitambua kuwa Young Africans Sports Club (anayejulikana hapa kama “YANGA”):
1.1 KWA KUWA, Timu ya Soka ya Mmiliki ni kongwe na yenye mafanikio kuliko timu ya soka nyingine zilizoko katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yenye thamani kubwa kiutamaduni na kwa urithi wa Taifa, licha ya jitihada zake zote, inakabiliwa na changamoto za kifedha katika kuiendesha timu yake ya mpira wa miguu, kwa kuwa na usajili mdogo wa uanachama, ukosefu wa mapato,  ya ada za Wanachama, mifumo isiyo na ufanisi ya kiuendeshaji, kushindwa kujipatia kipato cha kibiashara kutoka katika hati miliki na nembo za kibiashara za Timu ya Soka ya YANGA kutoweza kujiendesha kibiashara na Shirikisho la Mpira wa Miguu la Tanzania (TFF)- ambalo kwa mfululizo linasababisha YANGA kuiendesha Klabu yake kwa hasara na kuwa tegemezi kutoka kwa michango ya wahisani na kwa mikopo na kukabili changamoto hizi; na Mkutano wa Wanachama wa YANGA tarehe 6 Agosti 2016 uliazimia kugeuza hali hii kwa kukodisha Timu ya Soka ya YANGA ambayo ilikuwa inajiendesha kwa hasara na mapato madogo kupitia nembo yake na hakimiliki yake  (jina na nembo) kwa muda wa Miaka (10), ili kuikinga Klabu kutoendelea kujiendesha kihasara katika kipindi cha Miaka (10) ya ukodishwaji, ijipange  kiuwezo ili Timu ya Soka ya Mmiliki na hakimiliki za jina lake na nembo zitakapo rejeshwa baada ya kukodishwa kwa kipindi cha Miaka (10), YANGA itakuwa inaweza kujiendesha yenyewe na iwe na uwezo wa kifedha na iweze kushindana kikamilifu katika shughuli za mpira wa miguu.
  1. Yanga Yetu Limited (inayojulikana hapa kama “Mkodishwaji”) ni Kampuni iliyoundwa ili iweze kuingia katika Mkataba na YANGA ili iweze kutimiza malengo ya Klabu kama yalivyo azimiwa katika Mkutano wa Wanachama wa YANGA uliofanyika tarehe 6 Agosti, 2016.
  2. Baraza la Wadhamini wa Young Africans Sports Club baada ya mazungumzo na Mkodishwaji linapenda kuwafahamisha Wana YANGA kuhusu mambo muhimu yaliyomo kwenye Mkataba Huu ulioingiwa kwa kuzingatia na kwa haki miliki kutolewa kwa Mkodishwaji kwa njia ya Mkataba Huu, kwa kukodisha Timu ya Soka ya Mmiliki na haki zake zote, mamlaka na majukumu yote, jina lake  na nembo kwa ajili ya kutumika kiamani na kibiashara katika kuziendesha shughuli za Timu ya Soka ya Mmiliki bila ya kuwa na kuingiliwa katika muda wa  Mkataba huu kwa muda wa Miaka (10) kuanzia Tarehe ya Ufanisi ya 1 Septemba, 2016, ila kama utasitishwa kabla kufuatana na matakwa ya Mkataba:
3.1 Mkodishwaji atailipia YANGA deni la Shilingi bilioni kumi na moja na milioni mia sita na sabini na sita tu (Tshs. 11,676 billioni) inayodaiwa kama Mmiliki na Mkopeshaji mmoja.
3.2 Mkodishwaji atailipa YANGA Tshs 100 millioni kwa mwaka ambayo YANGA itawekeza kiwango kisichopungua (90%) ili kuimarisha mtandao wa Matawi yake.
3.3 Mkodishwaji atailipa YANGA katika mwaka wa fedha wowote ule kukiwa kuna faida ya fedha taslim ya asilimia 25% fedha ambayo YANGA itaitumia kujenga uwanja wake wa mpira.
3.4 Mkodishwaji atalipa hasara za uendeshadji zilizoko katika Mkataba kutoka kwenye mfuko wake bila ya kuweka madai kwa YANGA.
3.5 Mkodishwaji ataanza kuwekeza kwa vitega uchumi kuanzia siku (90) ya Mkataba katika mafunzo na vifaa, ambavyo kutakuwepo kiwanja cha mafunzo ya mpira katika sehemu atakayo ona inafaa kwake yeye Mkodishwaji.
3.6 Mkodishwaji atahakikisha kuwa majukumu yote ya kifedha ya Timu ya Soka ya YANGA ikijumlishwa ada ya usajili zinazotakiwa kuanzia Tarehe ya Ufanisi na majukumu mengine ya siku zijazo yanalipwa kulingana na mahitaji ya YANGA mapema kutoka kwenye mfuko wa Mkodishwaji.
3.7 Mkodishwaji atahakikisha kuwa Timu ya Soka ya YANGA haitamaliza chini ya nafasi nusu mwisho wa msimu wa ligi ya Tanzania Premium League wakati ikiwa ndani ya kipindi cha Mkataba.
3.8 Mkodishwaji atahakikisha kuwa Timu ya Soka ya Mmiliki iliyokodishwa katika kipindi cha misimu 3 mfululizo itamaliza ikiwa ni mshindi wa nafasi 2 za juu kwenye Tanzania Premium League.
3.9 Mkodishwaji, kwa kila mwaka atafadhili mashindano ya mpira katika mfumo utakao amuliwa na yeye Mkodishwaji kwa Timu ya Soka kwa vijana wenye umri chini ya miaka (18) na kila Tawi la Wanachama wa YANGA litaalikwa kutuma timu yake kushiriki katika shindano hilo.
3.10 Mkodishwaji atakabidhi kwa YANGA tuzo zozote au Nishani yoyote Timu ya Soka ya Mmiliki ikipata, na kuitaarifu YANGA kabla, pale itakapo wezekana, ili YANGA iweze kumteua mwakilishi wa kupokea tuzo hiyo kwa kuitambua Timu ya Soka ya Mmiliki.
3.11 Mkodishwaji ataingia katika Mikataba yote ya ufadhili au mikataba yaleseni kwa kuitisha zabuni kupitia Zabuni za Umma.
3.12 Mkodiswaji ataunda na kuiendesha Timu ya Mpira wa Miguu ya vijana kulingana na kanuni na miongozo ya TFF.
3.13 YANGA itateua moja kati ya kampuni Tano (5) za Ukaguzi Kongwe Duniani wa Mahesabu zije kukagua kwa kila mwaka hesabu za Mkodishwaji kuhakikisha hakuna ubadhirifu.
3.14 YANGA itakuwa na haki ya kipekee kabla ya Tarehe ya Ufanisi wa Mkataba huu kiwango chochote ambacho kinastahili kupata kutoka   TFF, ikiwemo Mkataba wa Azam TV ambao unakadiriwa kuwa shilingi milioni mia tatu (300,000,000) kwa matangazo ya msimu uliopita, mikataba ya ufadhili, madeni ambayo haijalipwa, fedha za zawadi, VAT kutoka TFF na fedha zingine zote zitapewa umuhimu wa nafasi ya kwanza katika matumizi ya kukamilisha majukumu ya zamani ya Timu ya Soka ya YANGA ambayo yalijilimbikiza na hayakuwa wamelipwa.
3.15 Mkataba huu utakapo fikia ukomo, YANGA itakuwa na haki ya kurejesha kile ilichokikodisha.
  1. Ilikubaliwa kwamba YANGA:
4.1 Itajitahidi mnamo kipindi cha miaka miwili ya Mkataba itakuwa na Wanachama hai 100,000 na kwa kila Wanachama 100,000 itateua Mjumbe mmoja kwenye Bodi ya Wakurugenzi ya Mkodishwaji.
4.2 Itafanya kila juhudi ya kuongeza ardhi inayohitajika katika Makao Makuu yake yaliyopo mtaa wa Twiga ili iweze kujenga uwanja wa mpira unaofaa, ambao Mkodishwaji atawajibika kuchezea michezo yake ya Timu ya Soka ya YANGA, kwa masharti yatakayo kubaliwa baina ya Pande zote za Wahusika.
4.3 Itakuwa na haki katika wakati wowote ule ndani ya kipindi cha Mkataba kusitisha Mkataba ili mradi imfidie Mkodishwaji hasara zote za nyuma, ilipe malipo yote yaliyofanywa kwa YANGA na Mkodishwaji, inachukua mali zilizowekezwa na Mkodishwaji na kumfidia mapato ya siku zijazo – zote, hizi zikiwa zimetathminiwa na moja ya Kampuni za Wakaguzi (5) Kongwe Duniani.
4.4 Ikiwa Mkodishwaji atakarabati au atatumia mali yoyote ya YANGA ataifidia YANGA kwa masharti yaliyokubaliwa kwa masharti tofauti ya Mkataba Huu.
4.5 Mkodishwaji atakuwa na haki ya kipekee ya kiwakilishi (Exclusive Power of Attorney) kwa YANGA kufanya mikataba na TFF, CAF & FIFA kwa niaba ya YANGA bila ya kuingiliwa kati na YANGA lakini anapaswa atoe taarifa kuhusu uwakilishi huo kwa Baraza la wadhamini, kuanzia Tarehe ya Ufanisi wa Mkataba Huu pamoja na haki ya uwakilishi wa YANGA kwa: i) kuunda Kamati zinazohitajika na TFF, CAF na FIFA kuiendesha Timu ya Soka ya Mmiliki iliyokodishwa ii) kusajili au kulisimamisha benchi la ufundi na wachezaji kutoka Timu ya Soka ya YANGA, iii) Kuwa Msemaji Mkuu wa Timu ya Soka ya YANGA kwa Umma.
  1. KUFUNGA.
5.1 Bodi ya Wadhamini wa YANGA inapenda kumshukuru Bw. Yusuf Mehbub Manji kwa kupendekeza masharti bora kuliko yale yaliyoazimiwa na kukubalika kwa Wanachama kwa manufaa ya YANGA, na tunampigia saluti uchangiaji wake usio na choyo kwa manufaa ya YANGA.
5.2 Tungependa kuufahamisha Umma kwamba Bw. Yusuf Mehbub Manji ametaka kujiuzulu kutoka Uenyekiti wa Klabu ili kuepusha mgongano wa kimaslahi, lakini tumelikataa ombi lake hili – kwa vile nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu, Wanachama wameonyesha kwa kura zao kuwa wana imani na uongozi wake, kwa vile wakati wa majadiliano, haweki maslahi yake binafsi juu ya yale ya Klabu, lakini anajaribu kadri iwezekanavyo kuisaidia Klabu kuweza kujitegemea kifedha haraka iwezekanavyo ili kuendelea kushindana katika mpira wa miguu kwa kiwango cha juu zaidi, hapohapo akilinda urithi wa Klabu na utamaduni – sifa ambayo tunaihitaji katika Mwenyekiti wa YANGA na kama akijiuzulu kutoka kwenye Klabu, tutakuwa tumempoteza kiongozi mwenye uzoefu na maadili ya  hali ya juu wakati tunapofanya mageuzi ya YANGA.
Tunachukua fursa hii kuwafahamisha Wanachama na Mashabiki kuwa   kuna kazi nyingi kwa faida ya YANGA ambazo Bw. Yusuf Manji anazifanya ambazo hazionekani mbele ya jamii: kitu ambacho kinahitajika katika Klabu. Tunapenda kuwafahamisha Wanachama na Mashabiki wawe waangalifu na maneno yao, kwa vile kauli za maneno ya matusi zinaumiza na zinawavunja moyo viongozi kama Bw. Yusuf Manji ambao tunafahamu hawagombei nafasi za Uongozi wa ndani ya Klabu, kwa sababu wanachukizwa na kutukanwa na Wanachama na hivyo basi, tunawapa mawaidha Wanachama, kwa manufaa ya Klabu watoe maoni yao kuhusu mambo ya soka na utawala wa soka, na siyo kwa watu na familia zao.
5.3 Sasa tunapenda kuwafahamisha Wanachama wa YANGA na Wapenzi wa YANGA kuwa kilichotiwa saini baina ya Pande Zote ni Mkataba ya kihistoria, na kama yakitekelezwa na pande zote mbili, YANGA itanufaika kwa hali ya juu mno kutokana na mazingatio na ushahidi iliyoupata kupitia Baraza lake la Wadhamini kwenye Mkataba wa ukodishwaji.
5.4 Mwisho, tumeombwa na Bw. Yusuf Manji tutangaze hadharani Mkataba Huu, hata hivyo bado tunajadiliana kama kutangazwa huko kutakuwa kwa manufaa ya Klabu, kwa kuwa, kwa upande mmoja ni vema kuwa na uwazi, lakini kwa upande mwingine washindani wa Klabu yetu   wataiga Mkataba wetu kwa manufaa yao.
YANGA DAIMA MBELE, NYUMA MWIKO
BODI YA WADHAMINI WA YANGA

urejeo wa Mtibwa Sugar katika mbio za ubingwa VPL

dsc_0239
Na Baraka Mbolembole
RASHID Mandawa tayari amekwishafunga magoli matatu katika michezo 7 ya ligi kuu Tanzania bara msimu huu akiwa na kikosi cha Mtibwa Sugar FC ya Turiani, Morogoro.
Ni dalili nzuri kwa kikosi cha kocha Salum Mayanga ambaye amerejea katika timu hiyo akichukua nafasi ya ‘Mwanafunzi wake’ Mecky Mexime.
Mtibwa-mabingwa mara mbili mfululizo wa VPL miaka ya 1999 na 2000 imeanza ‘kukaa sawa’ baada ya kuwapoteza wachezaji wake wengi waliojiunga timu nyingine.
Golikipa, Hussein Shariff, mlinzi wa kati, Vicent Andrew, viungo Muzamir Yassin, Shiza Kichuya, Mohamed Ibrahim na mshambulizi, Said Bahanunzi wote walikuwapo katika kikosi cha timu hiyo msimu uliopita lakini sasa hawapo katika timu hiyo.
Pointi 13 katika game 7 zimeifanya timu hiyo kupanda hadi katika nafasi ya tatu ya msimamo wa ligi-pointi nne nyuma ya vinara Simba SC.
Walipoteza mechi ya ufunguzi katika uwanja wao wa nyumbani, Manungu Complex kisha wakalazimishwa sare ya kufungana 1-1 na Mbao FC katika uwanja huo lakini mambo yameanza kwenda vizuri.
Goli pekee la kiungo mshambulizi, Haroun Chanongo vs African Lyon mwishoni mwa wiki iliyopita limekuwa goli la 8 kufungwa na kikosi cha Mayanga ambaye aliisaidia Tanzania Prisons kumaliza katika nafasi ya nne msimu uliopita huku wakicheza game 15 pasipo kupoteza katika uwanja wao wa nyumbani, Sokoine, Mbeya.
Wachezaji wengi wa Prisons walivutiwa na mbinu za Mayanga huku pia wakimsifia mkufunzi huyo wa zamani wa Kagera Sugar FC kwa kuwajenga kisaikolojia.
Mayanga amekuwa akiwasisitiza wachezaji wake mara kwa mara kwamba wanaweza kuifunga timu yoyote kama watakuwa tayari kwa maana mpira wao na timu nyingine hautofautiani. Chini ya kocha huyu naamini Mtibwa watajaribu kushinda ubingwa wa VPL na FA Cup msimu huu.
Akiwa tayari ameangusha pointi nne katika uwanja wa Manungu Complex na huku wakipoteza game moja ugenini vs Simba, Mayanga anapaswa kuimarisha zaidi mbinu zake za kujilinda ili wasiendelee kuruhusu magoli mara kwa mara.
Kuruhusu magoli 6 katika michezo 7 huku magoli matatu wakiruhusu katika uwanja wao wa nyu mbani ni tatizo lakini mkufunzi huyo naamini anaweza kurekebisha hali hiyo kabla ya kuwavaa JKT Ruvu ya Pwani pale Mlandizi wikendi hii.
Kushinda game nne, kupoteza mbili na kupata sare katika game moja ni mwanzo mzuri kwa timu iliyowapoteza wachezaji 6 hadi 7 wa kikosi cha kwanza kwa mara moja.
Nahodha msaidizi, Salim Mbonde, Ally Shomary, Ibrahim Jeba, na baadhi ya wachezaji wazoefu kama Vicent Barnabas na nahodha wa timu hiyo, Shaaban Nditti wanaweza kushirikiana na wachezaji vijana na wale wapya Kasian Mponela kumaliza tabia ya kumaliza ligi vibaya.
Mzunguko wa pili umekuwa ukiwasumbua sana Mtibwa katika miaka ya karibuni na jambo hilo limekuwa likiwanyima nafasi ya kutwaa ubingwa licha ya kufanya vyema mwanzoni na kutoa ushindani mkubwa.
Katika makocha wazawa, siku zote nimekuwa shabiki wa Mayanga-mshindi wa Tusker Cup 2008 akiwa na kikosi cha ‘Wakata Miwa hao wa Turiani.’
Mayanga atairudisha Mtibwa katika njia ya ushindani wa kweli na watajaribu kushinda mataji msimu huu. Mayanga anaweza kumaliza ‘kiu ya ubingwa’ Mtibwa Sugar lakini haitakuwa rahisi

Friday, July 29, 2016

SABABU ALIZOTOA MO DEWJI KWANINI ANATAKA KUINUNUA SIMBA SC HIZI HAPA

IMG_0371
Bilionea wa kitanzania Mohammed Dewji ‘MO’ ambaye ni mkurugenzi mtendaji na rais wa makapuni ya Mohammed Interprises (MeTL) amevunja ukimya baada ya kujitokeza na kuweka bayana nia yake ya kutaka kununu asilimia 51 za klabu hiyo kwa shilingi bilioni 20 za Tanzania.
MO amesema nia yake ya kutaka kuwekeza kitita hicho cha pesa ni kutaka kufanya mabadiliko ya mfumo mzima wa uendeshaji wa klabu hiyo ili kuleta ushindani ndani ya nchi na kimataifa lakini kubwa ni kuhakikisha klabu hiyo inapata mafaniko kama ilivyokuwa miaka ya nyuma wakati akiidhamini klabu hiyo.
“Nakumbuka mwaka 2004 nilisema mfumo huu wa uendeshaji hauko endelevu, na hatuwezi kuendelea kushindana na klabu kubwa za Afrika kama Ismailia, TP Mazembe na nyingine kama tukiendelea na mfumo huu ambao tunao. Niliwaomba sana viongozi tubadilishe mfumo lakini kwa bahati mbaya miaka 10 iliyopita ilionekana kama haiwezekani.”
Baada ya kusema hivyo, MO akaanza kuorodhesha kwanini anataka kuwekeza kwenye klabu ya Simba ili kuleta mafanikio na ushindani zaidi.
Bajeti ya timu
Bajeti ya Yanga ni ni takribani zaidi ya shilingi bilioni 2.5, bajeti ya Azam FC ni hiyohiyo lakini ukienda kuona bajeti ya Simba ni nusu ya bilioni 2.5. Bajeti yao ni karibia bilioni 1.2.
TBL inatoa milioni 400 hadi 500 lakini kuna mapato ya getini, kuna hela kutoka Vodacom na Azam TV ambao ndio wadhamini wa ligi hiyo hela haitoshelezi.
Malengo yangu ni kuitoa Simba kwenye bajeti ya bilioni 1.2 kwa mwaka na kuipeleka kwenye bilioni 5.5
Ukiingia kwenye dirisha la usajili kama tunamtaka mchezaji sisi tunasema tuna milioni 20 wenzetu wanasema wanaweka dau la milioni 40 hadi 50 lakini pia hatuna uwezo wa kumlipa mshahara mzuri mchezaji huyo.
Mashabiki wa Simba wanahitaji mafanikio
Lazima tusajili wachezaji wazuri, tuwalipe vizuri, tutafute kocha mzuri, kwahiyo ukitenga bilioni 4 kwa mwaka tayari unakuwa umewazidi wapinzani wako wa Azam na Yanga kwasababu wao wanatumia bilioni 2.5 hadi bilioni 3. Kwahiyo unakuwa umewazidi kwa asilimia 25 na hapo unaweza kushindana nao na inabaki bilioni 1.5.
Miundo mbinu duni ya klabu
August 8 Simba inafikisha miaka 80 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1936. Simba haina hata uwanja wake wa kufanyia mazoezi, mimi kama mwanachama na mpenzi wa Simba inaniuma. Wenzetu wameanza juzi na tayari wanauwanja wao. Kwahiyo malengo yangu ni kwamba, tukitenga bilioni 1.5 kwa miaka mitatu, tutajenga uwanja, gym, swimming pool, nutrition centre, na recovery centre, lazima tuwe na wataam wa kila aina.
Tutengeneze miundo mbinu ya kisasa, tunauwanja pale Bunju lazima tuwekeze. Lakini ukitaka kuwekeza vizuri, huwezi kuwekeza kwa shilingi milioni 500, unahitaji bioni 5. Kwahiyo unatenga bioni 1.5 kila mwaka kwa miaka mitatu unapata kiasi hicho cha pesa halafu unafanya utekelezaji.
Timu za vijana
Ili ufanikiwe katika soka lazima uwe na timu za vijana U18, U16, U14 na U12. Kuendesha hizi timu nne unahitaji kuwa na pesa. Kwahiyo mimi dhamira yangu sio kupata hela kutoka Simba, ninabiashara zangu zaidi ya 100 jambo ninalotaka ni kuwekeza Simba na kubadilisha mfumo, tuwe na mfumo wa uwazi wa uendeshaji wa timu kuwa wa kiueledi ili siku moja tuwe mabingwa Afrika kwasababu mimi sitaki niishie Tanzania tu.
Wanachama wa siku nyingi kufaidika
Wanachama walioitumikia Simba kwa siku nyingi sana, hatuwezi kuacha kuwafikiria, mimi fikra yangu tupange na tuwape hisa bure kuliko kuwa na kadi tu ambazo hazina faida. Watapata hisa, huko mbele klabu ikifanya vizuri wanaweza kuuza hisa zao au kama watakuwa na pesa wataweza kununua hisa zaidi lakini pia watapata gawio. Hawa watu wametoa jasho na damu kuitumikia klabu ya Simba na huko nyuma hawajapata chochote kwahiyo ni haki yao kupata hisa za Simba SC.

#OneAfricaMusicFest: DAVIDO Performs Live At Barclays Center

#OneAfricaMusicFest: DAVIDO Performs Live At Barclays Center

WIZKID'S BEST PERFOMANCE AT ONE AFRICA MUSIC FEST 2016

Diamond kwenye show ya One Africa Music Festival New York Marekani

Nikk wa Pili Exclusive Interview Part Two

WIMBO WA NIKKI WA PILI T CHIN BEES SWEET MANGI


etii yangaa wameombaa poo CAF wamechomoa


SPOTRS XTRA:SABABU ZA CAF KUKATAA OMBI LA YANGA KUCHEZA TAREHE 29, KUELE...

Friday, July 15, 2016

Wizara yatangaza matokeo kidato cha sita kutazama bofya hapa


TOKEO YA KIDATO CHA SITA 2016 (Updated),
FORM SIX (ACSEE) EXAMINATION RESULTS 2016,
NECTA Results 2016, Necta Form Six Results 2016,
NECTA ACSEE Results 2016, Form Six Results 2016,
Matokeo kidato ya cha sita 2016, Matokeo ya NECTA
2016.
wizara ya elimu yatangaza matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka wa masomo 2015/2016
kuangalia majina ya waliofauru bofyaa link hii ya blue
http://www.necta.go.tz/results2016/ACSEE2016/index.htm

Sunday, June 26, 2016

Majina wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano kwa mwaka 2016/2017

Baada ya kusubiri kwa kwa mda mrefu sass tamisemi yatoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na shule walizopelekwa
bofyaa hapa kuyaona majina hayo.
http://tamisemi.go.tz/form_five_selection/

Friday, March 18, 2016

Ommy Dimpoz azungumzia urafiki wake na Diamond kwa sasa ulivyo.

katika mohojiano yake Dimpozi amesema haina haja ya kuficha ficha kuwa wapo karibu kwa sasa hayupo karibu nae lakini hana tatizo nae kwa maana hana ugomvi nae na wala hawakuwahi kugombana ila hali kama hiyo inatokea kwa mtu yoyote.

Huu  sio muda wa kuficha mambo wakati uhalisia unaonekana tulivyo sasa sio kama zamani sasa lakini hatuja gombana wala hatuna bifu mana kukuza mashabiki hawachelewi amesema Dimpozi

Alipo ulizwa kuhusu wanjera kuwa ndio chanzo cha ugomvi wao dimpozy amesema hapana haikuwa hiyo wala hakuna bifu ila hali ya kawaida kwa binadamu, na tukiona nana tun salimiana kama kawaida

kuhusu kuwa karibu na alikiba kwa sasa amesema huwa haegemei upande wowote kati ya wasanii hao maana unapo egemea upande mmoja ndipo watu wana kutukana na kuku elewa vibaya huwa hapendi kuegemea sehemu moja na kama bifu au chochote hiko chao yeye  anacho angalia utu na ubinadamu wala haingii katika bifu lao kama kweli lipo

Thursday, March 17, 2016

Wazee kulipwa pension zao kuanzia april Zanzibar

ZANZIBAR


Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuanzia mwezi April mwaka huu, itaanza kulipa pensheni kwa wazee wote wenye umri wa kuanzia miaka sabini ili kukabiliana na hali mbaya ya kiuchumi inayowakabili wazee waishio visiwani humsheinMpaka sasa jumla ya shilingi bilioni moja nukta tano zimetengwa kwa ajili ya malipo ya miezi mitatu ya pensheni hiyo kabla ya kuisha kwa mwaka huu wa fedha, kipindi ambapo Baraza la Wawakilishi litapitisha kiwango kipya cha pesa za pensheni kwa mwaka ujao wa fedha.

Mkuu wa Kitengo cha Hifadhi ya Jamii kutoka serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bw. Salum Rashid Mohemmed, amesema hayo leo katika mkutano wa kitaifa ulioandaliwa na asasi ya HelpAge International tawi la Tanzania, kwa ajili ya kutathmini utekelezaji wa sheria za kimataifa na za kikanda, za usimamizi na ulinzi wa haki za wazee ambazo Tanzania kama nchi imeziridhia.

Kwa mujibu wa Bw. Mohammed, takribani wazee elfu ishirini watanufaikia na mpango huo ambapo kila mmoja atapatiwa kiasi cha shilingi elfu ishirini kila mwezi huku kiwango cha pensheni kikitarajiwa kupanda kulingana na hali ya uchumi itakavyokuwa.

Kwa upande wake, Kaimu Mkurugenzi Mkazi wa Help Age Tanzania Bw. Smart Daniel, amesema kuna haja ya Tanzania Bara kuiga mpango huo wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kwani wazee nchini wanakabiliwa na hali mbaya ya kiuchumi huku sababu kuu ikiwa ni hatua ya serikali kutosaini sheria ya wazee takribani miaka kumi na tatu tangu bunge litunge na kuipitisha.

Akinukuu ripoti ya mwaka jana ya hali ya wazee duniani; Bw. Daniel amesema hali ya wazee nchini sio nzuri kwani katika ripoti hiyo, Tanzania imeshika nafasi ya tisini na moja kati ya nchi tisini na sita zilizofanyiwa utafiti.

Aidha, amesema licha ya wazee kukabiliwa na hali mbaya ya kiuchumi, wao ndio wamekuwa walezi wa kundi kubwa la wajukuu ambao wengi wao ni watoto yatima, sambamba na kuwa na jukumu la kuhudumia watoto na wajukuu wao walioathirika kwa ugonjwa hatari wa ukimwi.

JINI MAHABATI SEHEMU YA 1



Mavazi ya heshima yasiyokuwa na heshima aliyokuwa akipendelea kuvaa Razia maarufu kwa jina la Kisura yalitosha kabisa kumchanganya Tariq na kujikuta akimpenda ghafla binti huyo waliyekutana eneo la chuo kikuu cha Eckernford Tanga.Uzuri wa umbo la kibantu na wowoo au kijungu mchongoko alilojaliwa binti huyo vilimfanya mwanaume yeyote aliyekutana naye kupagawa na pengine kutaka hata kumsalimia.

Mpasuo wa mbele wa gauni refu alilovaa binti huyo ulimfanya Tariq ageuke mara baada ya kupishana na binti huyo kwenye barabara hiyo ya kuingia chuoni.

Mtikisiko mtikisiko wa makalio ya binti huyo mithili ya mawimbi ya bahari ya hindi yalizidi kumchnganya Tariq na kujikuta akiumia shingo kwa kumuangalia.Uvumilivu ukamshinda akajikuata anageuka na kuanza kurudi chuoni alipotokea ili mradi  apate hata nafasi ya kumsemesha binti huyo.

Macho ya Tariq yaliganda kwenye sehemu za nyuma za wowooo la binti huyo ambalo licha ya ukubwa na mirindimo ya pwani pia zilionesha michirizi chirizi ya nguo ya ndani.Tariq alilalamba lamba midomo yake kutokana na uchu mkubwa alioupata mara baada ya kugundua kuwa nguo ya ndani ya binti huyo ilikuwa ni ya pink tofauti na gauni la light blue alilokuwa amelivaa.

Tariq alizidi kumfuata mpaka binti huyo akaingia chuoni kabisa na alikuwa akielekea moja ya ofisi hapo chuoni. Tariq alijikuta akikooa kwa nguvu jambo lilomfanya binti huyo ageuke. “Jamani huko vizuri alichombeza Tariq huku akipiga hatua za haraka haraka ili aweze kuomba namba za simu.Akajikuta anatoa kalamu na karatasi kisha kuandika namba zake za simu na kumkabidhi binti huyo

Razia alitabasamu kisha akazichukua zile namba na kuingia ofisini. “Sijui ni msubiri au niondoke zangu” alijiuliza Tariq mara baada ya kutoa namba zake na kubaki hapo nje.”Any way kwa kuwa nimeshampa namba zangu wacha mimi niende zangu”alijijibu Tariq.

Razia aliingia ofisini kwa lengo la kukamilisha udaili wa kujiunga na chuo kikuu cha Enckernford Tanga kwa sababu alikuwa amechelewa na mda wa usahili ulikuwa umeisha.Alichelewa kutokana na mvutano na familia yake ambayo haukupenda binti huyo kusoma nje ya jiji la Dar es salaam na walikuwa wako tayari kutumia gharama yeyote kuhakikisha kuwa binti huyo anapangiwa vyuo vilivyopo Dar es salaaam...

Razia ni mtoto wa balozi mstaafu na mama yake anafanya kazi kama katibuu mkuu wa wizara moja hapa nchini.Razia ameishi kwenye mazingira mazuri sana na sasa anafuraha sana maana atapata uhuru wa kuishi maisha yake kuacha yale ya kubanwabanwa aliyokuwa akiishi tangia akiwiwa mdogo.

Razia au Kisura jina alilopewa akiwa sekondari alipenda sana kwenda kusoma mbali na Dar es Salaaam ili aweze kupata uhuru  wa kuishi maisha ayependayo tofauti na yale ya kubanwabanwa na wazazi wake.Hivyo hata katika uchaguzi wa vyuo alijaza vyuo vya nje ya Dar es salaam hivyo kupelekea kupangiwa Tanga jambo ambalo halikuwafurahisha wazazi wake.

Alipoingia tu ofisini harufu ya marashi ya kunukia ilimshitua  mwalimu aliyekuwa akihusika na kukamilisha usaili kwa wanafunzi waliochewa.Macho ya tamaa ya kiume yaliangukia kwenye matiti ya binti huyu ambayo yalikuwa ni makubwa na yameachiwa huku kukiwa na kitatoo kidogo cha makopa kwenye titi lakushoto.

 “Karibu alijikaza na kusema Mwalimu huyo mara baada ya kugundua kuwa binti aliyeingia ofisi alikuwa na urembo uliopitiliza”.  “Asante alijibu Razia kwa sauti iliyojaa mbwembwe na kila ishara ya ushawishi kuwa yeye ni mrembo. Ule mpasuo wa gauni alilovaa binti huyu vilimfanya mwalimu huyo aendelee kumshangaa na kumezea mate kama simba aliyeona swala.

Basi Razia alieleza shida yake  na kutokana na muonekano wake alisikilizwa na kusaidiwa akakamilisha mchakato huo,akaaga na kuondoka  na wakati anapiga hatua kuondoka yule mwalimu alimwita na kumwambia mbona hujaandika namba yako ya simu? Razia akamuangalia kwa madaha kisha akatabasamu na kumwambia mbona sijaona sehemu ya kuandika namba”? “Ok hii form yako itakuwa imekosewa” alijiuma uma mwamlimu huyo.

“Kwa hiyo nifanyaje aliuliza Razia kwa kujiamini? “Andika namba yako kwa juu alijibu mwalimu.
****ITAENDELEA***

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...