Naamu watanzania wenzangu habari za mishuhuriko ya hapa na pale katika
kujipatia chochote kitu na ujenzi wa taifa kwa ujumla,
Leo nataka kujua kama watanzania na vijana wa taifa la sasa na kesho, iwapo
utapata fursa ya kuteuliwa kwenye tume ya Rais katika kukusanya maoni kwa
ajili ya katiba mpya utawasaidiaje wa tanzania kuwasilisha maoni yao? au
utatumia nafasi hiyo kujipatika kipato kwa ajili ya njaa ya leo nakusahau
watanzania wenzako wa kesho?
No comments:
Post a Comment