Pages

Friday, May 10, 2013

JE WAMJUA MSANII ANAYEPIGA VIWALO VYA BEI KALI NA KWENDA NA WAKATI NDANI YA BONGO? CHEKI PICHA HIZI UWEZE KUJIONEA MSANII HUYU ANAVYONG'AAA

 

 Jux ndie Msanii anaeongoza kwenye uvaaji wa Brand kali maarufu na zinampendeza, wapo wengi ambao wanavaa vizuri lakini Jux kwa Tanzania ni namba moja ukitaka kujua hilo jaribu kufatilia kwa makini utapata jibu.
Hizi ni baadhi ya Picha zikimuonesha Jux katika muonekano tofauti tofauti.








No comments:

Post a Comment