Pages

Saturday, June 15, 2013

AY NDANI YA LONDON READY KWA AJILI YA TRAFFIC LIGHT PARTY



Rapper AY yuko nchini Uingereza kwa ajili ya show inayofanyika kila mwaka Tanzania na Uingereza "Traffic Light Party" ambayo inatarajiwa kufanyikasiku ya leo tarehe 15 June, ndani ya Club Laface, London


No comments:

Post a Comment