Saturday, July 13, 2013
SIMBA YAFANIKIWA KUMSAJILI MFUNGAJIA BORA WAKAGAME 2013 HAMIS TAMBWE. PATA UNDANI ZAIDI
Simba sports Club ya Dar es Salaam imefanikiwa kumsajili
mfungaji bora wa michuano ya Kagame Cup 2013 Hamis Tambwe kutokea Vital O
ya Burundi kwa kumpa mkataba wa miaka miwili July 12 2013 kuanza
kuwatumikia wekundu hao wa Msimbazi kwa mujibu wa shaffihdauda.com
Tambwe mbele ya mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment