Pages
(Move to ...)
HOME
KITAIFA
KIMATAIFA
MICHEZO NA BURUDANI
KIJAMII
▼
Wednesday, January 22, 2014
BREAKING NEWS: Mbunge wa Chalinze (CCM) afariki dunia
Mbunge wa jimbo la Chalinze (CCM) Said Ramadhani Bwanamdogo amefariki dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupo ya MOI alipokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Said Ramadhani Bwanamdogo
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment