Friday, May 31, 2013

MATOKEO KIDATO CHA NNE 2012 YATANGAZWA UPYA KWA TAARIFA ZAIDI BOFYA HAPA


Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Ufundi,Dk Shukuru Kawambwa
                 Dar es Salam,Tanzania
WAKATI Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), ikitangaza matokeo mapya ya kidato cha nne leo, baada ya kufanya marekebisho ya alama za viwango vya ufaulu, njama za kukwamisha Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa inaadaliwa.
Habari zilizonaswa na Habarimpya.com zinadai kwamba, Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamejipanga kukwamisha hotuba ya Wizara hiyo, kwa madai kwamba Waziri huyo ameshindwa kusimamia sekta ya Elimu.
Vyanzo vya habari kutoka ndani ya CCM mjini Dodoma zinadai kwamba, Wabunge hao wamepania kukwamisha hotuba hiyo na kumtaka Waziri huyo ajiuzuru ili kukisafisha Chama hicho kutokana na aibu ya mkanganyiko wa kufeli kwa Wanafunzi mwaka huu.
"Hotuba ya Wizara ya Eilimu haiwezi kupitishwa kirahisi kama Kawambwa hata jiuzuru, hatuwezi kuendelea kuwa na mawaziri wanaoshindwa kuwajibika ipasavyo katika setka zao, kitendo cha mawaziri hao kushindwa kuwajibika ipasavyo ndiyo inayochangia kuharibu Chama"kilisema chanzo hicho kwa masharti ya kutotajwa majina yake na kuongeza:.
"Huu mpango unaendelea kusukwa na wabunge wa CCM waliopania kurudisha heshma ya Chama, lakizima tuanzie ndani kuwajibishana wenywe kabla ya wapinzani kuanza, kwani tukishindwa sisi watatumia udhaifu wetu kuwashawishi wananchi na hatimaye watazidi kuichukia Serikali". Wakati Waziri Dk Kawambwa akiandaliwa mazingira ya kung'olewa, Necta inatarajia kutangaza matokeo yaliyoongeza kiwango  cha  ufaulu kufikia asilimia kati ya 54 na 57, wiki hii pamoja na yale ya kidato cha sita ambayo pia yamechelewa kutangazwa.
 Kusoma majina ya watahiniwa wapya bopya hapa  http://196.44.162.25/csee2012/Olevel.htm

Wednesday, May 29, 2013

HABARI ZA USAJILI WA WACHEZAJI LIGI KUU YA UINGELEZA (LATEST EPL NEWS & TRANSFER GOSSIPS:-)


Photo
- Roberto Martinez is ready to take over as manager of Everton - and wants to take some of Wigan’s FA Cup winners to Goodison with him. He wants Arouna Kone, Antolin Alcaraz, James McCarthy, Shaun Maloney and Callum McManaman, plus assistants Graeme Jones and Kevin Reeves.

- Premier League-bound Crystal Palace are eyeing West Brom's Peter Odemwingie and Javier Acuna of Real Madrid. Palace must strengthen up front with Wilfried Zaha leaving for Manchester United and top scorer Glenn Murray out injured until Christmas.

- Palace are also interested in Tottenham midfielder Jake Livermore.

- Liverpool have made a move to gazump Arsenal in the chase for Lyon playmaker Clement Grenier by tabling a firm offer, according to a French report.

- West Ham are set to make a move for Bordeaux defender Ludovic Sane.

- Steve Bruce is ready to throw Aston Villa keeper Shay Given a Premier League lifeline with newly-promoted Hull.

- John Heitinga has told Everton to sell him this summer if they do not want to lose him for nothing in 12 months' time.

- Andre Santos is heading back to Arsenal after being priced out of a move to Gremio, where he has spent the last few months on loan.

- Arsenal are also looking at Levante winger Ruben Garcia and Sochaux right-back Sebastien Corchia.

- Sunderland have confirmed defenders Titus Bramble and Matt Kilgallon will leave the club this summer when their contracts expire.

- Spurs are hoping to start the season with a brand new strikeforce by securing the signatures of Barcelona's David Villa and Internacional's Leandro Damiao this summer.

- Manchester United and Liverpool target Christian Eriksen looks set to spurn a move to the Premier League in favour of a £10million switch to Borussia Dortmund.

- Real Madrid are prepared to make Cristiano Ronaldo the world's highest-paid footballer in an attempt to keep him at the Bernabeu amid rumours linking him back with a return to Manchester United.

- The Bernabeu club are also confident they can land Spurs winger Gareth Bale after setting a deadline of June 15 to complete the signing of the Welsh international.

- Chelsea have entered the race to sign Arsenal target Stefan Jovetic from Fiorentina.

- Carlos Tevez hasn't yet been offered a new deal at Manchester City, despite the fact his contract expires next summer.

- Mark Hughes is set to be unveiled as Stoke City's new boss today.

- Robbie Keane has slammed the "politics" around the England team - and claimed he and his Republic of Ireland team-mates care more about their shirt than their Three Lions counterparts do for theirs.

- Daniel Sturridge has been told to seize his chance and make himself England’s new strike leader.

- Ashley Cole will be given the England armband on Wednesday - seven months after branding the Football Association a “bunch of t***s.”

- Wigan supremo Dave Whelan wants whirlwind talks to find a new boss - with Owen Coyle and Stuart Pearce heading his hit list.

- Kevin Phillips reckons the "Ollie factor" can keep Crystal Palace in the Premier League.

- Mark Hughes will be under orders to slash Stoke’s budget and change the playing style if he is appointed as their new manager.

- Everton have bowed to massive fan pressure and issued an apology for changing the club's crest without widespread consultation with their supporters.

- Brendan Rodgers claims it is a "real positive" that Liverpool have four players in England's squad for the Under-21 European Championship.

- Manchester City fans have dug into their own pockets to pay for a newspaper advert thanking dumped boss Roberto Mancini.

- Napoli striker Edinson Cavani has dampened talk of a move to England by claiming that playing for Real Madrid or Barcelona would be a dream.

- PSV Eindhoven are hoping to clinch a deal for Chelsea's Dutch defender Jeffrey Bruma.

- Barcelona midfielder Thiago Alcantara has refused to be drawn on rumours that Manchester United are considering a summer move for his services.

- Liverpool have turned to Manchester City veteran Kolo Toure to fill the defensive void left by retiring Reds legend Jamie Carragher.

- Former Wigan Athletic goalkeeper Chris Kirkland told talkSPORT the impact Roberto Martinez made at the club will make him a very hard act to follow as manager.

- Neil Warnock has tipped Wilfried Zaha to be a huge hit for Manchester United next season after his starring role for Crystal Palace in the Championship play-off final.

- Crystal Palace and West Ham will battle it out to sign Barcelona starlet Marc Bartra on loan next season.

- Liverpool target Sofiane Feghouli has made a U-turn and now fancies leaving Valencia.

- Chelsea and Manchester City target Geoffrey Kondogbia has admitted he could leave Sevilla this summer.

- James Rodriguez is hoping Radamel Falcao snubs the Premier League and completes his move to Monaco.

- Lyon have nosed ahead of Arsenal in the chase to sign Sochaux's Sebastien Corchia.

- Fenerbahce winger Milos Krasic has offers from the Premier League - with Sunderland rumoured to be among interested parties.

- Gareth Bale's agent admits it would be an 'honour' if Real Madrid were interested, but says his deal is with Tottenham.

- Thierry Henry is urging Arsenal to target the Premier League title and not settle for a place in the Champions League.

- Internacional chief Giovanni Luigi insists he is currently not in talks with any club about star striker Leandro Damiao.

- Manchester United goalkeeper David de Gea insists he is happy with the Premier League champions.

- West Ham have been granted permission to go ahead with their plans to redevelop the Olympic Stadium.

- Crystal Palace have given new deals to Peter Ramage and Owen Garvan.

- Swansea boss Michael Laudrup's agent has warned the club that they must give him the funds he wants to strengthen the squad, or else risk him leaving.

- Former Newcastle striker Alan Shearer believes Alan Pardew "deserves to keep his job" at St James' Park.

- David Luiz wants showdown talks with Jose Mourinho about his Chelsea future after being told Barcelona want to sign him.

- Monaco want to take Newcastle's Hatem Ben Arfa back to France.

- Manchester City are facing competition from Real Madrid for Seville's Jesus Navas.

- Matej Vydra will open talks with Watford after the club failed to reach the Premier League.

- Wilfried Zaha could be forced to pull out of England's U-21 squad with an ankle injury.

- Arsenal are considering a £12m move for out-of-favour Liverpool defender Martin Skrtel.

- Sunderland are eyeing a £4m move for Celtic keeper Fraser Forster.

- Aston Villa are poised to beat a host of teams for Bulgarian winger Aleksandar Tonev.

- David Beckham is in line to become a global ambassador for Manchester United.

ZIJUE NJIA TATU ZA KUMVUTIA MWANAMKE BILA HATA YA KUZUNGUMZA NAE.(3 WAYS TO ATTRACT A WOMAN WITHOUT SPEAKING TO HER)


Standing Tall
Sounds a little silly and obvious right? Especially if you’re 5ft tall. But what I mean by this is standing with your shoulders back, head held high and back straight. In theory these three little things don’t sound like much at all, but I’m telling you by standing tall you will resonate confidence and start feeling a lot more sure of yourself.
Once I started doing this, I noticed myself not shying away from eye contact a lot more, strange right? But for some reason it works, it’s like you feel as though you can take on anyone. Don’t let this one slip, give it a go and remind yourself when you start to slouch.
Smiling
Goodness me, I cannot tell you how incredibly attractive smiling is to a woman, let me ask you something. Have you ever been in a conversation with a woman and you noticed how beautiful her smile was? Like she was giving off this vibe? That’s how powerful smiling is and if you haven’t then you need to make yourself more aware of this.
The next time you’re walking towards a gorgeous woman, just do one thing… smile. Try and smile in a non creepy way, it needs to be in a cheeky kind of way that shows you are again confident but also willing to open conversation.
At first this will be hard, particularly in London, it took me a good few attempts before I could carry it off, but once you do it a few times you’ll start to get great responses from women, some will even open you – so make sure this is something you test at least ten times.
Eye Contact
If you take just one thing away from this article and use, please make it eye contact. I cannot stress enough how important strong, dominant and sexy eye contact is. You might be thinking, how the hell can I convey all those qualities just through my eyes?
Simple, when you’re looking into a woman’s eyes just say to yourself “how would a confident, strong minded and sexual guy be looking at this really attractive girl right now, to show that he’s not scared in the slightest?”. You should naturally start to get it and what I mean by that is… “the look”. Women will react differently in conversion and each word will feel more intense, sexual tension is built from this.
At a first glance though, you need to hold eye contact, make sure that when you lock each others gaze… you NEVER look away first. Spice things up to, when you’re looking over, throw in a little smile or a raised eyebrow, these will get a response from her without a doubt.
So there you have it the three most important things to attract women that I use on a daily basis once I set foot outside the front door. Although these are the basics, they REALLY do work – so try them, master them and play around with them.

Tuesday, May 28, 2013

HII NDIO SABABU YA KIFO CHA MSANII ALBAT MANGWEA. BOFYA HAPA USOME ZAIDI


Habari kutoka kwa mtu wa karibu na Rapper Ngwea, aliejitambulisha kwa jina la Hamisi, amesema Ngwea alikua kule kwa mualiko wa kufanya show South Africa, ambapo alikua na msanii mwingine anaeitwa M to the P, na walitakiwa kuondoka leo kurudi Dar saa tatu asubuhi, lakini baada ya kuona hawatokei ndio wakaamua kwenda walipokuwa wamefikia na kuwakuta wote wawili wakiwa hawajielewi baada ya kujidunga madawa ya kulevya mengi (overdose), walipowahishwa hospitali, habari ndio ikawa hivi, kuwa Ngwea amefariki na M to the P yuko hoi hospitali

May God give you peace brother.

Monday, May 20, 2013

KAMA WEWE NI MMOJA WA WANAOTARAJIA KUFANYA MTIHANI WA FORM SIXT MWAKAN YAANI 2014 TANGAZO HILI LINAKUHUSU


Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani la Tanzania anapenda kuwatangazia watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) mwezi, Mei 2014 kama Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba kipindi cha usajili kitaanza rasmi tarehe 1 Julai, 2013 kwa ada ya Shilingi 35,000/=. Kipindi cha malipo bila adhabu kitaishia tarehe 31 Agosti, 2013. Kuanzia tarehe 1 Septemba, 2013 hadi tarehe 30 Septemba, 2013 waombaji watajisajili kwa ada ya Shilingi 50,000/- (ada pamoja na faini).
Waombaji wote watajisajili kwa njia ya mtandao kupitia tovuti: http://www.necta.go.tz/ ya Baraza la Mitihani la Tanzania. Kabla ya kujisajili kwenye mtandao waombaji watapaswa kwenda kwenye vituo vya mitihani kuchukua namba rejea (reference number) watakazotumia kujisajili. Hakuna mtahiniwa atakayeweza kujisajili bila kupata namba rejea kutoka katika kituo anachokusudia kufanyia Mtihani. Wakuu wote wa vituo nchini watakabidhiwa namba rejea hizo kabla ya muda wa usajili kuanza na watazigawa kwa watahiniwa tarajali bila malipo.

Sunday, May 19, 2013

HIZI NDIO PICHA ZA NGONO WALIZOPIGA WAIGIZAJI WA KUNDI LA ZE COMED


Picha za aibu  zinazowaonesha wasanii wa kundi la Ze Komedi wakiwa kwenye fukwe moja ya huko Kigamboni zimezua balaa kubwa ......
 Happy  kabla  hajavua  nguo.... 
==
Mtandao  huu  umefanikiwa  kuzipata  picha  hizi  kutoka  kwa  msomaji  wetu  mpendwa  ambaye  kwa  uzalendo  wake  ametutumia  kwa  njia  ya  email  huku  akielezea  kwa  kifupi  kuhusu  sakata  hilo  la  aibu..... 
 
Happy akichezewa matiti na master Face huku akichekelea
Huyu  ni  Happy na Master  Face  wakifanya  Uchafu wao....Hapa  wanatomasana  kabla ya uzalendo kuwashinda  na  kuamua  kuvunja  amri  ya  sita...
Vipi  baby....umezidiwa.....!!!! Aibu tupu 
==
Mdau  huyo  anaripoti  kwamba, kundi  hilo  liliingia  ndani  ya  ufukwe  wa  Chadibwa  na  kuanza  kufanya  mambo  ya  aibu  mbele  ya  watu..... 
Wasanii  walioongoza  kwa  mambo  ya  aibu  ni  mdada  mmoja  aliyejulikana  kwa  jina  la HAPPY  ambaye  ni  mrembo  aliyejigeuza  mbwa  na  kukubali  kushikwashikwa  ovyo  matiti  yake  na  viungo  vingine  "sensitive"  bila  kujali  watu.....

 Matiti  bado  yanaendelea  kuteswa
Kiwewe  naye  alikuwa  kivyake  na  wakwake.....
  Mbali  na  Happy, kulikuwa  na Msanii KIWEWE ambaye  yeye  alikuwa  akijimilikisha  VIUNO  vya mabinti  hao  bila  aibu..... 
 Achilia  mbali Kiwewe, alikuwepo  pia  MANAIKI SANGA  ambaye  naye  alikuwa  akikumbatia  watatu  watatu....Cha  ajabu  ni  kwamba, yeye  alikuwa  kavaaa, akina  dada  walikuwa  uchi.....
 Aliyetia  aibu  ya  mwaka  ni MASTER FACE ambaye  kwa  mujibu  wa  mdau  alitutumia  picha  hizi  ni  kwamba  yeye  na HAPPY  walifikia  hadi  hatua  ya kuvunja  amri  ya  sita  nyuma  ya  gari.....!!!!
Uzalendo uliwashinda wakaamua  wamalizane....

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA UWANJA WA TAIFA HAPO JANA KATI YA SIMBA NA YANGA. PICHA NA MATUKIO BOFYA HAPA


Mpira umemalizika, Young Africans 2 - 0 Simba SC
Kavumbagu ddk 4
Kiiza dkk 63

Dk 85 Nizar Khalfan anapiga shuti kali langoni kwa Simba lakini Kaseja anaokoa na kuumia. Simba 0-2 Yanga

Dk 76 SUB....! Simba imefanya mabadiliko ametoka Haruna Chanongo ameingia Ramadhan Singano 'Messi' 

Dakika ya 75, Young Africans 1 - 0 Simba SC
Anaingia Nizar Khalfani kuchukua nafasi ya Hamis Kiiza

Dk 69 Sunzu wa Simba anamchezea faulo Mbuyu Twite wa Yanga. Mpira unasimama kwa muda ili Twite atibiwe. 

Dakika ya 63, Hamis Kiiza anaipatia Young Africans bao la pili - Young Africans 2 - Simba SC

DK 60 Yanga wanaendelea kuongoza hapa dhidi ya Simba

Dk 47 SUB: Simba imefanya mabadiliko, ametoka Abdallah Seseme ameingia Felix Sunzu. 

Dk 45 KIPINDI CHA PILI KIMEANZA!

Mpira ni mapumziko, Young Africans 1 - 0 Simba SC
Dk 38 Simba inapata kona ya pili.
Dk 35 Kiiza wa Yanga anakosa bao la wazi baada ya mpira alioupiga kutoka juu ya lango la Simba. Simba 0-1 Yanga.

Dk 32 Mwinyi Kazimoto wa Simba anamchezea vibaya Frank Domayo wa Yanga.

Dakika ya 28 Simba walipata penati, akapiga Mussa Mudde na kukosa
Dk 27 PENALLLLTTY......! Simba inapata penalti baada ya Cannavaro kumchezea vibaya Mrisho Ngassa.

Dk 21 Hamis Kiiza wa Yanga anauwahi vizuri mpira katikati ya mabeki wa Simba waliojichanganya kuokoa lakini shuti lake hafifu linaokolewa na kipa wa Simba, Juma Kaseja.

Dk 20 Cannavaro wa Yanga anachezewa faulo na Haruna Shamte wa Simba.

Dk 16 YELLOW CARD......! Haruna Shamte wa Simba anaonyeshwa kadi ya njano baada ya kumchezea vibaya Simon Msuva. Simba 0-1 Yanga 

DK 15 Simba 0 - 1 Yanga

Dk 10 Didier Kavumbagu wa Yanga anamchezea faulo Shomari Kapombe.

Dk 8 Simba inapata kona ambayo haizai matunda

Didier Kavambagu anaipatia Yanga bao la kuongoza

Dk 1 YELLOW CARD...! Mbuyu Twite wa Yanga anaonyeshwa kadi ya njano baada ya kumchezea vibaya Haruna Chanongo wa Simba. 

Mpira unaanza uwanja wa Taifa

Simba line up: Juma Kaseja, Nassor Masoud 'Chollo', Haruna Shamte, Shomari Kapombe, Mussa Mudde, William Lucian, Mwinyi Kazimoto, Abdallah Seseme, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba na Haruna Chanongo. Sub: Abel Dhaira, Miraji Adam, Ramadhan Singano 'Messi', Felix Sunzu, Christopher Edward, Jonas Mkude na Hassan Mkude

Yanga line up: Ally Mustapha 'Barthez', Mbuyu Twite, David Luhende, Nadir Haroub 'Cannavaro', Kelvin Yondan, Athuman Idd 'Chuji', Simon Msuva, Frank Domayo, Didier Kavumbagu, Hamis Kiiza na Haruna Niyonzima. Sub: Said Mohamed, Juma Abdul, Oscar Joshua, Nurdin Bakar, Nizar Khalfan, Said Bahanuz na Jerry Tegete

Thursday, May 16, 2013

VICHWA VYA MAGAZETI LEO TAREHE 16/05/2013. HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA ,MICHEZO NA STORY ZA UDAKU






 

MAZINGIRA YA VYUO VIKUU TANZANIA HAYAFAI NA YANAKATISHA TAMAA KWA TAIFA LIJALO, HII KAULI YA WACHAMBUZI WA ELIMI NCHINI, KWA NINI WAMESEMA HIVI SOMAA UNDANI WAKE HAPA


Cover Photo
KWA UFUPI
  • Tukiangalia historia ya uanzishwaji wa vyuo vikuu hapa nchini tunagundua kwamba hakuna chuo kikuu kilichoanzishwa baada ya kufanyika kwa mipango madhubuti ambayo ni muhimu katika kutayarisha mazingira stahiki ya kufundishia elimu ya juu.


Safari ya kupita katika kampasi za vyuo vyetu vikuu hapa nchini itamthibitishia mgeni yeyote jambo moja kubwa. Kwamba tumekurupuka kuanzisha utitiri wa vyuo vikuu bila kufanya maandalizi ya kutosha.
Tukiangalia historia ya uanzishwaji wa vyuo vikuu hapa nchini tunagundua kwamba hakuna chuo kikuu kilichoanzishwa baada ya kufanyika kwa mipango madhubuti ambayo ni muhimu katika kutayarisha mazingira stahiki ya kufundishia elimu ya juu.
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Kampasi ya Mlimani), ambacho sasa ni moja ya vyuo vikuu vichache vyenye mandhari na mazingira bora barani Afrika kilianzia katika makazi ya muda katika Barabara ya Lumumba, jijini Dar es Salaam mwaka 1963.
Makazi hayo hayakuwa mazuri kwa chuo kikuu na ndio maana Rais Nyerere, kwa kuelewa umuhimu wa elimu ya juu aliagiza itafutwe haraka sehemu kubwa nje ya mji kwa ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambacho tunakishuhudia hivi sasa.
Siyo wananchi wengi wanakumbuka kuwa, Rais Nyerere alimteua raia wa Canada kuwa Makamu Mkuu wa chuo hicho na kumkabidhi jukumu la kutafuta sehemu stahiki ya kujenga taasisi hiyo.
Mkanada huyo alichagua sehemu kilichopo chuo hicho hivi sasa, wakati huo likiwa pori kubwa la asili na wakiwamo wanyama wakali. Mji wakati huo ulikuwa unaishia Magomeni na makazi tunayoyaona hivi sasa Manzese, Sinza, Mwenge, Ubungo na kwingineko yalikuwa hayapo, kwani lilikuwa pori nene.
Hivyo, hatukushangazwa na taarifa zilizothibitishwa kwamba maofisa wa Serikali ya Rais Nyerere walipinga vikali uamuzi wa raia huyo wa Canada wa kuchagua ‘pori’ hilo kwa ajili ya kujenga chuo hicho.
Walisema hakuwa na akili nzuri, hivyo walimshtaki kwa Rais Nyerere ili abatilishe uamuzi wa kujenga Chuo Kikuu cha Dar es Salaam porini. Kwa mshangao wao, Rais alibariki uamuzi wa raia huyo wa Canada, ambaye alianza ujenzi wa chuo hicho ambacho sote tunajivunia hivi leo.
Tumelazimika kuorodhesha yote hayo kwa lengo la kuonyesha jinsi Rais Nyerere na mteule wake huyo walivyokuwa na dira, mwelekeo na upeo mkubwa wa kutambua kwamba mji wa Dar es Salaam ungepanuka katika miaka michache ijayo na kuwa jiji kubwa lenye mamilioni ya watu.
Makosa waliyofanya waasisi wengi wa vyuo vikuu duniani ni kushindwa kutambua kwamba vyuo hivyo vilihitaji nafasi ya kutosha ili viweze kupanuka kwa mahitaji ya wakati huo na wa baadaye.
Lakini inasikitisha kuona kwamba hapa nchini tumeanzisha utitiri wa vyuo vikuu pasipo mipango wala maandalizi.
Vyuo vingi havina majengo wala mazingira yenye hadhi ya kuitwa vyuo vikuu, kwani vimejibanza katika sehemu chafu, finyu na zenye majengo mabovu ambamo vinabuniwa vyumba vya madarasa, maabara, maktaba na kadhalika ambavyo havikidhi viwango vya chuo kikuu.
Mazingira kama hayo hayawezi hata kidogo kutoa wahitimu wenye viwango vya kushindana katika soko la ajira au soko huria la wajasiliamali.
Hivi sasa kuna vyuo vikuu zaidi ya 46 nchini. Pamoja na kuwapo Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) na Sheria ya Vyuo Vikuu ya 2005, vyuo hivyo bado vinaanzishwa kienyeji katika mazingira ya aibu.
Inakuwaje vinashindwa kuboresha mazingira kutokana na fedha zinazolipwa na wanafunzi kama ada kutoka Bodi ya Mikopo?    

Wednesday, May 15, 2013

NGONO ZEMBE ZA SHAMIRI BARABARA YA KWENDA ZAMBIA, KUUPATA UNDANI ZAIDI BOFYA HAPA


Licha ya kuwa na kiwango kikubwa cha maambukizi ya Ukimwi, Mkoa wa Mbeya bado unatajwa kuwa eneo lililokithiri kwa vitendo vya ngono bila kuwa na tahadhari (ngono zembe).
Dar es Salaam. Sababu kubwa ya hali hiyo inaelezwa kuwa ni kuwepo kwa maegesho ya malori ya mizigo yanayoelekea Zambia huku madereva wake wakitajwa kuwa wateja wakubwa wa ngono.
Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi Jumamosi katika maeneo yanayotajwa kwa biashara ya ngono yaani Kata ya Igawa na Igurusi, umethibitisha kuwepo kwa vitendo hivyo.  
Igawa
Akizungumza na mwandishi wetu, mmoja wa madereva wa taxi eneo la Igawa aliyejitambulisha kwa jina la Felix, alisema kuwa kwa sasa biashara hiyo imedorora kwa sababu madereva wa malori wamepunguza kusimama hapo.  
“Zamani ungefika hapa saa hizi ungewakuta barabarani kabisa. Lakini siku hizi, malori yameacha kusimama hapa, ndiyo maana nao wamepungua. Lakini wapo baadhi yao ni wahudumu wa baa,” alisema dereva huyo.
Kwa kuwa muda ulikuwa umekwenda na usafiri usiku ni wa shida, mwandishi aliendelea Kata ya Igurusi kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
Igurusi
Ni majira ya saa mbili usiku, baada ya kuchukua chumba kwenye nyumba ya wageni iliyo mbali na barabara kuu, nikarudi kwenye baa moja. Kabla sijaondoka, nikamuuliza mama mwenye gesti kama naweza kuleta mwanamke wa kulala naye. Akanijibu kuwa ni uamuzi wangu kwani haizuiwi.
Nilipofika katika baa moja iliyo pembeni mwa barabara (jina linahifadhiwa) nilikuwa nikipata kinywaji huku nikiangalia jinsi ya kumpata mtu wa kuzungumza naye kwa kina.
Namjaribu mhudumu mmoja wa baa hiyo kwa kumtongoza, lakini akasema hawezi kutoka na mimi kwa kuwa bado yuko kazini.
Nahamia baa nyingine ng’ambo ya barabara kwa lengo hilohilo. Hapo nakutana na mama mmoja wa makamo, kisha kumweleza shida yangu kwamba natafuta mwanamke wa kulala naye usiku huo.
“Ni kweli hapa wapo kina dada, ukiwataka mnaelewana tu. Mimi mwenyewe ninaye binti yangu ila nimetuma dukani, labda umsubiri. Lakini kama unaona utachelewa, basi nenda baa ya jirani hapo wapo wengi tu,” alisema mama huyo.
Nikaamua kwenda kwenye baa hiyo jirani na hapo nawakuta kina dada wapatao watano, huku wateja wakiwa wachache tu. Nikaagiza soda na kuanza kuinywa taratibu. Bila kupoteza muda nikamuuliza dada aliyeniletea soda (jina linahifadhiwa)  kama naweza kupata mshichana wa kulala naye usiku huo. Mahojiano yetu yakawa hivi
Mhudumu: Hapa wapo wengi tu… wote unaowaona hapa ndiyo kazi zao, sijui unamtaka nani?
Mwandishi: Mimi nakutaka wewe..
Mhudumu: Mh! Sawa lakini ujue bado niko kazini hadi saa tano usiku. Labda unipe Sh5,000 nikalipe kwa meneja ili aniruhusu.
Mwandishi: Hiyo haina shida, kuna gharama nyingine?
Mhudumu: Ndiyo itabidi pia unilipe hela ya penzi, Sh10,000 na Sh5,000 ya kulipia gesti.
Mwandishi: Mh! Mbona kubwa hivyo? Kwani ni lazima tufanyie kwenye gesti ya hapa?
Mhudumu: Hiyo ndiyo bei yetu ya kawaida. Siyo lazima tulale hapa, kama kuna sehemu nyingine twende tu.
Nampa Sh5,000 ya kulipa kwa meneja wake, huku nikimalizia soda yangu. Mara akawa tayari, tukaondoka kuelekea gesti niliyofikia.
Katika gesti hiyo pia kuna baa na sehemu ya chips. Mazungumzo yetu yakaendelea.
Mhudumu: Kwanza uninunulie chips na samaki maana nina njaa sana. Halafu uninunulie na bia.
Mwandishi: Usihofu utakula tu. Lakini bia mimi situmii kwa hiyo itabidi unisamehe kwa leo. Enhee, hebu nijulishe jina lako na kwa nini umeipenda hii kazi ya baa?
Mhudumu: Mimi naitwa…(jina linahifadhiwa), sina muda mrefu sana hapa Igurusi. Nimekuja kutoka Mbeya mjini kwa mama yangu mzazi. Nilimtoroka mama baada ya rafiki yangu kunirubuni.
Mwandishi; Umefikika kidato cha nne?
Mhudumu: Shule sikumaliza mwaka … aah, nilimaliza mwaka juzi, lakini sikufanya vizuri.
Mwandishi: Ulipata divisheni gani?
Mhudumu: Usinikumbushe machungu… nilipata ‘C’ moja tu, nilikuwa shule ya Southern Highland ya Mbeya. Kilichosababisha nishindwe kuendelea na masomo ni kupata mimba na kuzaa mtoto ambaye sasa ana miaka miwili na yuko kwa mama.
Mwandishi: Kumbe una mpenzi, anajua kwamba uko hapa?
Mhudumu: Wala hajui, kwanza tulikorofishana, japo hatujaachana na anamhudumia mtoto wake vizuri tu.
Baada ya chips kuwa tayari nikamwomba tuingie chumbani. Mazungumzo yakaendelea.
Mwandishi: Sasa tule halafu kazi ianze
Mhudumu: Sawa.
Mwandishi: Hivi tukifanya bila kondomu utanifanyia shilingi ngapi?
Mhudumu: Mh! Mimi naogopa kufanya bila kondomu. Si unipe hela tu nikanunue kondomu hapo nje?
Mwandishi: Kwani nikitafuta mwanamke huko nje wa kufanya naye bila kondomu sipati?
Mhudumu: Wapo wengi tu, hata pale baa uliyoniyonitoa, wanawake wanajiuza na wengine wanaletwa pale ni wake za watu wanakuja wakiwa wamejifunika khanga. Kwa ujumla hapa ngono inafanyika mno.
Baada ya mazungumzo kuendelea nikamwambia, basi kama hataki bila kondomu basi na mimi sitaki kufanya. Nikamlipa Sh5,000 kwa kuwa hatujafanya na kumrudisha nilipomtoa ikiwa ni saa tano usiku.
Utafiti wa NIMR
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Dawa za Binadamu (NIMR) mwaka 2012, kuhusu upatikanaji na matumizi ya kondomu kwenye maeneo yenye maambukizi


MMOJA WA WALIOATHILIWA NA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA APOTEZA KIUNGO MUHIMU, SOMA UPATE HABARI ZAIDI


Mfanyabiashara Apolnary Malamsha (33)  wa Arusha ambaye jicho lake limepata hitilafu baada ya kutobolewa na chuma cha bomu wiki mbili zilizopita akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili jana

Dar es Salaam.
 Mfanyabiashara Apolnary Malamsha (33) amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuelezwa kuwa chuma cha bomu kilichomtoboa chini ya jicho la kushoto kimeingia ndani na kumharibia mfumo wa kuona.
Akizungumza kwa masikitiko juzi katika wodi namba ya 10  Kibasila kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) alipolazwa, Malamsha ambaye ni mkazi wa Olasiti Arusha alisema taarifa hiyo imemsikitisa na kumuogopesha.
“Nimechunguzwa na daktari ameniambia kwamba kipande cha chuma kilichotoboa jicho langu kiliingia ndani na kukata mojawapo ya mishipa inayowezesha jicho kuona kwa hiyo hakuna uwezekano wa kuona tena,” alisema kwa masikitiko Malamsha.
Malamsha pia anasumbuliwa na kutapika, hali ambayo anadai inachangiwa na vyuma vya mabomu vilivyoingia mwilini mwake.
Naye kaka yake aliyejitambulisha kwa jina la Priscus Malamsha ambaye alikuwa akimhudumia alieleza kuhuzunishwa na habari hizo kwa kuwa inaweza kumpunguzia mdogo wake furaha ya maisha yake.
“Najisikia vibaya huyu ni mdogo wangu, lakini bomu limemfanya apoteze furaha yake, tazama anavyotapika kila anachokula, lakini tutaendelea kumtazama Mungu,” alisema Malamsha ambaye naye ni mkazi wa Olasiti.
Kijana huyo ni miongoni mwa majeruhi  saba waliofikishwa MNH kwa matibabu zaidi, baada ya kujeruhiwa kwenye mlipuko wa bomu uliotokea katika Kanisa Katoliki la Mtakafitu Joseph Mfanyakazi.
Kwa upande wake Ofisa Uhusiano wa MNH, Jeza Waziri alieleza kuwa majeruhi karibu wote wanaendelea vyema,baadhi yao wanaweza kuruhusiwa kurejea nyumbani kwao hasa kutokana na hali zao kuendelea kuimarika.
Majeruhi wengine ni Gabriel Godfery (9),  Jenipher Joachim (40) na Anastazia Regnard (14).
Wengine ni Albert Njau (35),  Faustine Shirima (33) Fatuma Tarimo (38)  ambaye  amepimwa na kuonekana ana  chembechembe za vyuma vya bomu ndani ya tumbo lake.

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...