Thursday, April 11, 2013

LEO NAWALETEA MAADA JUU YA VIDONDA VYA TUMBO, VISABABISHI VYAKE, DALILI ZAKE NA MATIBABU YAKE. BOFYA HAPA UJIVUZE JUU YA AFYA


VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS)
Ni kushindwa kwa kuta za tumbo kuvumilia makali ya aside ndani ya tumbo na kutengeneza vidonda vya tumbo.

Kuna makundi matatu ya vidonda vya tumbo
1.Peptic Ulcers
2.Deudenom ulcers
3.Gastric Ulcers
Kila vidonda vina aina ya maumivu yake
1.Tumbo kuuma juu ya kitovu
2.Kuuma mgongo
3.Kupata Kiungulia (heart burn)
4.Kukosa choo muda  mrefu
5.Njaa kama umechelewa kula
6.Maumivu hupungua kama umekula
7.Huchagua vyakula
8.Huwa na dalili za kunenepa
9.Huwa hana njaa
10.Anaogopa kula
11.Hupata maumivu ya mgongo
12.Chakula akila baada ya nusu saa tumbo huanza kuuma
13.Tumbo huwaka moto
14.Ana dalili za kukonda

VISABABISHI
Uvutaji wa sigara
Kutokula kwa wakati
Kutumia vyakula vya kusisimua mwili kama vile soda
Kula vyakula vyenye aside nyingi
Kushindwa kuthibiti hasira kama vile Hasira,huzuni na mawazo
Kutumia vyakula vikavu ambavyo huenda kukwangua tumbo
Kukaa mda mrefu bila kula
Kutumia vidonge visivyoyeyuka mapema

TIBA
1.Maziwa ya soya
2.Vitunguu maji tafuna nusu yake kwa siku
3.Jitahidi kula kwa wakati
4.Usile ovyo ovyo
5.Pendelea kutumia matunda kama vile chenza

NB:-Tatizo hili huweza kumalizwa kwa muda mchache tu endapo utatutembelea katika kituo chetu nakupewa huduma yetu
Nakutakia Afya njema

BY DR JAMES MGIMBA 

MAWASILIANO PIGA: 0752 71 75 31/ 0717 72 18 67


1 comment:

  1. dr james habari yako mm naitwa sila nipo tegeta dar es salaam nina tatizo la tumbo nina waka moto nasikia njaa sana hata nikila bado nasikia njaa pia ngongo inauma chini karibu na makalio sijajua tatizo nn dr

    ReplyDelete

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...