Sunday, November 3, 2013

BREAKING NEEEEWZZZZ!! MTAHINIWA WA MTIHANI KIDATO CHA NNE AJINYONGAA WAPI NA KWANINI BOFYA HAPA



Mwanafunzi aliyekuwa akisubiri kufanya mtihani wa kidato cha nne unaotaraji kuanza Leo Bw Khamis Mkundo mkazi wa Mwangata C katika Manispaa ya Iringa akiwa amejinyonga usiku wa kuamkia leo kuhofu mtihani wa kidato cha nne...... Naona huu mzimu wakujinyonga bado unawasaka watu wa Iringa. Huyu mtoto hakujua kwamba sasahivi hakuna kufeli??

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...