Wednesday, January 22, 2014

BREAKING NEWS: Mbunge wa Chalinze (CCM) afariki dunia

Mbunge wa jimbo la Chalinze (CCM) Said Ramadhani Bwanamdogo amefariki dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupo ya MOI alipokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu.

#HABARI Mbunge wa jimbo la Chalinze (CCM) Said Ramadhani Bwanamdogo amefariki dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupo ya MOI alipokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu.                   Said Ramadhani Bwanamdogo

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...