PICHA ZA RIHANA ZAWA GUMZO MTANDAONI< NI PICHA ALIZOPIGA AKIWA BRAZIL> CHECK SWAGA HZOO
Rihanna ame-share picha zake akiwa kwenye mapumziko huko Brazil ambazo zinasambaa sana hivi sasa kwenye mtandao.
Rihanna akiwa Brazil ametumia muda huo pia kupiga picha kwa ajili ya cover ya Vogue Magazine.
Hizi picha amezipiga akila good time kwenye yatch.
No comments:
Post a Comment