Thursday, March 17, 2016

JINI MAHABATI SEHEMU YA 1



Mavazi ya heshima yasiyokuwa na heshima aliyokuwa akipendelea kuvaa Razia maarufu kwa jina la Kisura yalitosha kabisa kumchanganya Tariq na kujikuta akimpenda ghafla binti huyo waliyekutana eneo la chuo kikuu cha Eckernford Tanga.Uzuri wa umbo la kibantu na wowoo au kijungu mchongoko alilojaliwa binti huyo vilimfanya mwanaume yeyote aliyekutana naye kupagawa na pengine kutaka hata kumsalimia.

Mpasuo wa mbele wa gauni refu alilovaa binti huyo ulimfanya Tariq ageuke mara baada ya kupishana na binti huyo kwenye barabara hiyo ya kuingia chuoni.

Mtikisiko mtikisiko wa makalio ya binti huyo mithili ya mawimbi ya bahari ya hindi yalizidi kumchnganya Tariq na kujikuta akiumia shingo kwa kumuangalia.Uvumilivu ukamshinda akajikuata anageuka na kuanza kurudi chuoni alipotokea ili mradi  apate hata nafasi ya kumsemesha binti huyo.

Macho ya Tariq yaliganda kwenye sehemu za nyuma za wowooo la binti huyo ambalo licha ya ukubwa na mirindimo ya pwani pia zilionesha michirizi chirizi ya nguo ya ndani.Tariq alilalamba lamba midomo yake kutokana na uchu mkubwa alioupata mara baada ya kugundua kuwa nguo ya ndani ya binti huyo ilikuwa ni ya pink tofauti na gauni la light blue alilokuwa amelivaa.

Tariq alizidi kumfuata mpaka binti huyo akaingia chuoni kabisa na alikuwa akielekea moja ya ofisi hapo chuoni. Tariq alijikuta akikooa kwa nguvu jambo lilomfanya binti huyo ageuke. “Jamani huko vizuri alichombeza Tariq huku akipiga hatua za haraka haraka ili aweze kuomba namba za simu.Akajikuta anatoa kalamu na karatasi kisha kuandika namba zake za simu na kumkabidhi binti huyo

Razia alitabasamu kisha akazichukua zile namba na kuingia ofisini. “Sijui ni msubiri au niondoke zangu” alijiuliza Tariq mara baada ya kutoa namba zake na kubaki hapo nje.”Any way kwa kuwa nimeshampa namba zangu wacha mimi niende zangu”alijijibu Tariq.

Razia aliingia ofisini kwa lengo la kukamilisha udaili wa kujiunga na chuo kikuu cha Enckernford Tanga kwa sababu alikuwa amechelewa na mda wa usahili ulikuwa umeisha.Alichelewa kutokana na mvutano na familia yake ambayo haukupenda binti huyo kusoma nje ya jiji la Dar es salaam na walikuwa wako tayari kutumia gharama yeyote kuhakikisha kuwa binti huyo anapangiwa vyuo vilivyopo Dar es salaaam...

Razia ni mtoto wa balozi mstaafu na mama yake anafanya kazi kama katibuu mkuu wa wizara moja hapa nchini.Razia ameishi kwenye mazingira mazuri sana na sasa anafuraha sana maana atapata uhuru wa kuishi maisha yake kuacha yale ya kubanwabanwa aliyokuwa akiishi tangia akiwiwa mdogo.

Razia au Kisura jina alilopewa akiwa sekondari alipenda sana kwenda kusoma mbali na Dar es Salaaam ili aweze kupata uhuru  wa kuishi maisha ayependayo tofauti na yale ya kubanwabanwa na wazazi wake.Hivyo hata katika uchaguzi wa vyuo alijaza vyuo vya nje ya Dar es salaam hivyo kupelekea kupangiwa Tanga jambo ambalo halikuwafurahisha wazazi wake.

Alipoingia tu ofisini harufu ya marashi ya kunukia ilimshitua  mwalimu aliyekuwa akihusika na kukamilisha usaili kwa wanafunzi waliochewa.Macho ya tamaa ya kiume yaliangukia kwenye matiti ya binti huyu ambayo yalikuwa ni makubwa na yameachiwa huku kukiwa na kitatoo kidogo cha makopa kwenye titi lakushoto.

 “Karibu alijikaza na kusema Mwalimu huyo mara baada ya kugundua kuwa binti aliyeingia ofisi alikuwa na urembo uliopitiliza”.  “Asante alijibu Razia kwa sauti iliyojaa mbwembwe na kila ishara ya ushawishi kuwa yeye ni mrembo. Ule mpasuo wa gauni alilovaa binti huyu vilimfanya mwalimu huyo aendelee kumshangaa na kumezea mate kama simba aliyeona swala.

Basi Razia alieleza shida yake  na kutokana na muonekano wake alisikilizwa na kusaidiwa akakamilisha mchakato huo,akaaga na kuondoka  na wakati anapiga hatua kuondoka yule mwalimu alimwita na kumwambia mbona hujaandika namba yako ya simu? Razia akamuangalia kwa madaha kisha akatabasamu na kumwambia mbona sijaona sehemu ya kuandika namba”? “Ok hii form yako itakuwa imekosewa” alijiuma uma mwamlimu huyo.

“Kwa hiyo nifanyaje aliuliza Razia kwa kujiamini? “Andika namba yako kwa juu alijibu mwalimu.
****ITAENDELEA***

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...