Friday, March 18, 2016

Ommy Dimpoz azungumzia urafiki wake na Diamond kwa sasa ulivyo.

katika mohojiano yake Dimpozi amesema haina haja ya kuficha ficha kuwa wapo karibu kwa sasa hayupo karibu nae lakini hana tatizo nae kwa maana hana ugomvi nae na wala hawakuwahi kugombana ila hali kama hiyo inatokea kwa mtu yoyote.

Huu  sio muda wa kuficha mambo wakati uhalisia unaonekana tulivyo sasa sio kama zamani sasa lakini hatuja gombana wala hatuna bifu mana kukuza mashabiki hawachelewi amesema Dimpozi

Alipo ulizwa kuhusu wanjera kuwa ndio chanzo cha ugomvi wao dimpozy amesema hapana haikuwa hiyo wala hakuna bifu ila hali ya kawaida kwa binadamu, na tukiona nana tun salimiana kama kawaida

kuhusu kuwa karibu na alikiba kwa sasa amesema huwa haegemei upande wowote kati ya wasanii hao maana unapo egemea upande mmoja ndipo watu wana kutukana na kuku elewa vibaya huwa hapendi kuegemea sehemu moja na kama bifu au chochote hiko chao yeye  anacho angalia utu na ubinadamu wala haingii katika bifu lao kama kweli lipo

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...