Tuesday, June 4, 2013

PICHA ZA MWILI WA MAREHEM NGWEA ULIPOTUA JIJINI DAR, MAELFU WAJITOKEZA KUMPOKEA BOFYA HAPA UPATE UNDANI ZAIDI



Baada ya siku kadhaa za kuahirishwa kufika kwa mwili wa msanii Ngwea, hatimae leo hii Tanzania imempokea kipenzi chao, katika uwanja wa ndege saa nane za mchana. maelfu wajitokeza wakiongozwa na wasanii wenzake wa bongo fleva. Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi




Aliewahi kuwa manager wake kwa miaka mitatu mfululizo, Tippo, akiwa uwanjani tayari kwa kumpokea Albert Mangwea






No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...