Thursday, October 16, 2014

EPISOD 3 PLAY GIRL NIMUENDELEZO WA STORY NZURI GA MAHABA. BOFYAA HAPA UPATE UHONDO



Ilipoishia...

'..NIPO NJIANI NAKUJA CHUONI
 KWENU KUKUCHUKUWA
 TWENDE KWANGU..."
 Nikaangalia mara mbili mbili kujua
 imetokea wapi, nikaja kugundua
 kuwa jina limeandikwa Jerry..

Endelea...

"..Aisha, Aisha Jerry yuko wapi..?"
 Nilishtuka usingizini na kitu cha kwanza nikumuuliza rafiki yangu Aisha,
 "..nawewe Tina kwa ndoto zako za mchana mchana tumeshakuchoka sasa, huyo Jerry ndio nani..?"
 Maskini Tina mimi kumbe yote ile ilikuwa ni ndoto eti mpaka nimekutana na mdogo wake Jerry anaitwa Nyemo na mpaka nikamng'ang'ania kwenda ku sex naye duh..
 Nilijichekea kimoyo moyo huku nikivuta kumbukumbu vizuri imekuwaje kuwaje ndoto hii, ndipo wazo likanijia kuwa mara ya mwisho Jerry alinipigia simu kuwa amepata dharula mara moja ataenda Temeke, hivyo nilikasirika nakurudi zangu mpaka bwenini nakubadili nguo zangu kisha nikajilaza ndipo usingizi uliponipitia nakuanza kuoto ndoto hizi..
 "..natamani ingekuwa kweli..? Mbona huyo Nyemo angenitambua.."
 Nilijisemea kimoyo moyo huku nikichukuwa simu yangu nakutaka kumpigia Jerry, nilihangaika kuitafuta namba yake bila mafanikio lakini nikakumbuka kuwa niliifuta pindi kile aliponiambia amepata dharula mara moja.
 "...sasa namba yake nitaipata wapi..?"
 Nilikuwa kama mtu aliyechanganyikiwa fulani huku muda wote Aisha akinitolea macho,
 "..yeees..!! Furaha ilinirudia pale nilipokiona kikadi chake cha ofisini alichonipa kilikuwa kimeandikwa hivi,
 "..Jerry .M. Ng'onye..
 Asst... Supplies officer..
 Fax ; +255 26545
 Mob ; +255 719920900 "
 Nikaikopi ile namba ya simu haraka haraka kisha nikai sevu upya nakumpigia..
 "..mambo Jerry.."
 "..enhe niambie Tina.."
 "..jamani niambie basi unatoka huko saa ngapi mwenzakn nimeshachoka hivyo kukusubiri.."
 "..unaskia Tina, wala usijali yaani swala la kuonana na wewe lipo pale pale.."
 "..nikuulize kitu Jerry..?"
 "..uliza tu wala usijali.."
 "..umeoa..?"
 "..dah nadhani mwakani ndio nampango huo lakini kiukweli nina mchumba tu.."
 Moyo ukanilipuka, huku nikijihisi vinyweleo vyangu mwilini vimesimama ama kupulizwa na upepo wa ghafla..
 "..unaishi naye huyo mwanamke.."
 Nijikaza nakumuuliza kwa makusudi..
 "..hapana, yeye anaishi nakufanyakazi huko huko Tanga ila mie naishi peke yangu hapa Dar.."
 "..Jerry huna mdogo wako..?"
 Nilimuuliza kwa makusudi,
 "..mh hapana, ila nina dada tu.. Kwanini umeamua kuniuliza hivyo..?"
 "..amh, nilitaka tu kujua jamani, kwani ni vibaya Jerry..?"
 "..ok, nina muda mfupi nitatoka huku Temeke, lakini itanibidi niunganishe moja kwa moja mpaka home nikabadili nanguo kabisa then tutatoka usiku kwa ajili ya 'dinner'.."
 Furaha iliniongezeka mara mbili nailivyokuwa,
 "..jamani Jerry, mbona mie niko tayari hata sasa si unipitie tu nikapajue na kw..."
 Kabla sijamaliza kuongea simu ikakata, nikajua labda huenda Jerry amekasirika nilivyomwambia, lakini haikuwa hivyo kwani nilipouliza salio langu lilikuwa ni sh. 0.
 Nikiwa bado najishangaa na kwa muda huu rafiki yangu Aisha alikuwa ametoka hivyo chumba chote nilibaki peke yangu mara simu ikapigwa..
 "...nitajitahidi kupambana na foleni, naanza safari ya kuja hapo chuoni kwenu 'be prepared..'"
 "..mie mbona niko tayari
 ni wewe tu Jerry.."

****

Pedo nyeusi yenye vitundu vidogo vidogo, chini nikiwa na viatu vya chini huku kichwani nikiwa na wigi lakushonesha, blauzi yenye mistari ya pinki na nyeusi mikononi nikiwa na bangiri kubwa nyeupe na nyeusi ndivyo nilivyovalia huku nikiishikilia pochi yangu ndogo nyeusi.
 Niliichukuwa simu yangu nakumpigia tena Jerry..
 "..enhe niambie jamani umefika wapi..?"
 "..ndio nakaribia maeneo ya Mnazi mmoja, nikukute kwa nje basi ili iwe rahisi kuendelea na safari.."
 "..pouwa.."
 Giza lilikuwa limeshazama ndicho kilichonipa ujasiri zaidi huku nikitoka nje kwa makogo yote..
 Haikuchukuwa muda nikawa nimeshaonana na Jerry, alionesha kuchoka sana kwa kazi ukijumlisha na mizunguko,
 "..mh, hapa atake asitake leo lazima alale na Tina mie.."
 Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimlegezea macho Jerry huku akiendesha gari kuelekea kwake,
 "..enh, niambie Jerry mbona kimya ghafla.."
 "..unafikiri nina usemi basi, enh embu niambie we kabila gani..?"
 "..mie ni mdigo mtu wa Tanga.. Wewe je..?"
 "..mie mpemba, kwani unanionaje..?"
 "..ndio maana, nywele, sura na weupe ulionao vinajitosheleza kujua.."
 Stori zilinoga mpaka nikaona kama safari fupi, ilituchukuwa kama dakika 40 kufika anapoishi Jerry,
 Jerry alikuwa anaishi jumba kubwa mwenyewe na mlinzi, tulipoingia ndani tu Jerry alipitiliza mpaka chumbani kwake huku Tina mie akiniacha sebuleni,
 "..hajanijua tu.."
 Nilijisemea peke yangu huku nikiyarekebisha maziwa yangu vizuri kisha nikainuka pale kwenye kochi nakuongoza mpaka chumbani kwa Jerry nakuanza kubisha hodi mpaka akafungua,
 "..vipi unasemaje tena Tina..?"
 "..am, mh, mh plizi Jerry unaniruhusu nikakuogeshe...?
 "...anhaaa Tina embu acha utani wako huo..."
 "...Jerry huniamini, au ndo unaona aibu..?"
 Jerry alikuwa hajiamini amini kama Tina mie naweza nikamuuliza maswali yale na tena nikiwa 'siriaz' kabisa..
 "..nikwambie kitu Tina.."
 "..yap, niambie Jerry..!"
 "..nakuomba, pliiz rudi ukanisubirie sebuleni, nioge fasta fasta tuondoke..."
 Nilimwitikia kwa shingo upande huku nikijirudisha mpaka sebuleni.
 Nilikaa kama dakika 2 nzima huku akili ikinihama kabisaaa, nikaona kama Jerry anachelewa kutoka, nikarudi tena mpaka mlango wa chumbani kwake kumgongea.
 Nilipiga hodi bila majibu yeyote mpaka nikaamua kuufungua mlango nakuingia kwani bafu na choo kilikuwepo ndani ya chumba chake 'self container'..
 Niligonga ule mlango wake wa bafuni bila majibu yeyote. Akili ikanituma nijilaze pale pale kitandani kwake akitoka atanikuta na lazima kitaeleweka tu.
 Haikuchukuwa muda Jerry akatoka bafuni..
 "..hee, Tina unafanyaje tena hapa..? Inamaana nilivyokuambia uende sebuleni hukwenda..?"
 "..aku.."
 "..Tina mie nlishakwambia kuwa ninajiheshimu na ninamchumba kwanini unanifanyia hivyo lakini..?"
 Jerry alilalamika mpaka nikaingiwa na moyo wa kutoka mule chumbani..
 "..Jerry wala usiwe na hofu na mie jamani, kwanza mie mwenyewe nina mchumba na hapa nilipo na 'bleed'.."
 "..sawa nimeshakuelewa Tina nenda basi sebuleni.."
 Niliondoka nakumuachia uhuru Jerry ili avae nguo..
 Ndani ya dakika kama 7 tayari Jerry alikuwa ameshavaa nguo tena amependeza, nywele zake zilikuwa zinang'aa sana na weupe alionao ndio ulionidatisha sana Tina mie..
 "..haya nipo tayari sasa Tina twende.."
 "..kabla hatujaondoka Jerry pliz nisaidie kitu kimoja.."
 "..kitu gani tena..?"
 "..kiss! Jerry kiss yako tu ndo ninahitaji.."
 "..Haa haa haa hicho ndo unachohitaji..?"
 Jerry alikuwa hajanielewa mchezo gani ninaotaka kumchezea, alinipiga busu la shavuni mpaka nikajihisi niko dunia nyingine..
 "..one more Jerry..(Jerry tena..)"
 "..umeshaona raha enhee.."
 Jerry alinibusu shavuni, nikampa na mdomoni akanibusu..
 "..Jerry naweza na mie nikakubusu..?"
 nilimuuliza kiuchokozi
 "...yeah"
 Nilitumia mwanya huo huo kujifanya kama nammbusu mdomoni, hapohapo nikatoa ulimi nakumdumbukizia kwenye mdomo wake naye nikamshuhudia akinipa denda lililonifanya mwili wangu wote usisimke ghafla huku nikiyafumba macho yangu nakutoa pumzi ya kimahaba..
 Jerry alinogewa na kujisahau, akajikuta amevamia kifua changu nakukusanya maziwa yangu huku akizipapasa chuchu zangu za mbele..
 "..no.. Noo Jerry nipo kwenye 'bleed' usinishike maziwa yananiuma.."
 Nilimwambia makusudi ili nijue kama kweli kalainika au la!
 "..Tina unasema..?"
 Jerry alikuwa anauliza huku akiongea sauti ya kimahaba..
 "..na leo ataisoma namba, nitahakikisha anakuwa mtumwa wa mapenzi ghafla, nalitesa kwanza wee baadaye kabisa ndio nitaliachia linifanye.."
 Niliongea kimoyo moyo huku nikiendelea kumtolea macho Jerry ambapo bado alikuwa ameng'ang'ania matiti yangu..
 "..Jerry, nakuruhusu nichezee kuanzia kichwani mwisho tumboni tu.."
 Kabla sijamaliza kusema nilimshangaa Jerry akinitupia kwenye kochi nakuanza kuninyonya kuanzia masikioni mpaka shingoni huku ulimi wake akiutelezesha mpaka kwenye kitovu changu..
 "..noo noo Jerry huko sitaki tena acha, nimekwambia nableed' kwahiyo nishike kote lakini usinishike matiti yangu wala sehemu zangu za si**.."
 Ama kweli na wanaume kumbe dhaifu kama sie wasichana,
 Nilimshangaa Jerry akitamani japo ku sex,
 "..Jerry, twende basi ulipotaka kunipeleka tukapate hiyo 'dinner'"
 Jerry alinyong'onyea nakukaa kama dakika moja kisha akachukuwa funguo ya gari na simu yake kwa shingo upande uku akionesha kutoridhishwa kabisa na mie,
 "..ok, twenzetu"
 Nilijirekebisha nguo zangu vizuri kisha nikaongozana na Jerry mpaka kwenye gari yake nakuingia kisha akaliwasha gari lake nakuondoka.
 "...Jerry hujaniambia ni wapi huko tunapoelekea kupata chakula.."
 "..tunaenda pale makumbusho na leo wikiendi huwa kuna 'live band'..
 "..ok.."
 Saa ya kwenye gari la Jerry ilinionesha imeshatimu saa 08:14 usiku, tayari tulikuwa maeneo ya morroco nikaanza kumchokoza tena Jerry.
 "..Jerry, nikwambie kitu.."
 "..yeah, niambie tu.."
 "..ujue muda wote kule kwako nilikuwa nakudanganya, mwenzako hata si bleed.."
 "..unasemaje.."
 Nikavua kile kipedo changu nakutoa 'pedi' feki niliyokuwa nimeivaa ambapo ilikuwa haina hata chembe ya damu, kisha nikamuonesha Jerry, nikaitupa nje huku nijirudishia nguo yangu vizuri nakumchekea jerry ambaye bado alikuwa kapigwa na butwaa..

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...