Wednesday, October 15, 2014

PLAY GIRL PART 2 STORY MAPENZI YENYEKUSISIMUA BOFYAA UPATE UHONDO


 Ilipoishia...

...nikayashika maziwa yangu
 vizuri mpaka yakapanda juu kama
 yanataka kutoka.
 Muda wote Nyemo alikuwa
 kazubaa tu..
 "..Nyemo endesha gari twende..

Endelea...

"..lakini si umeshajua tunaelekea wapi..?"
 "...si unanipeleka alipo Jerry au..?"
 "...mie Bro Jerry kaniambia nije nikuchukue kisha nikupeke mpaka kwake, hivyo akitoka huko Temeke atakukuta.."
 "...ok, nimekuelewa Nyemo.."
 Baada ya hapo Nyemo aliwasha gari na safari yakuelekea huko kwa Jerry ikaanza huku mie akili ikinibadilika nakujikuta nikimtamani Nyemo njia zote tulizopita.
 "...Nyemo hizo ni nywele zako halisi.."
 Nilikuwa mtu wa kumchokoza Nyemo njiani, kwani kiukweli nywele zake zilikuwa kama zimewekewa dawa na ukichanganya na weupe aliokuwa nao daah..
 Ilituchukuwa kama nusu saa mpaka kufika maeneo ya Msasani ambapo alikuwa akiishi Jerry..
 "..Nyemo nikuulize kitu..?"
 "..uliza tu wala usihofu.."
 "..embu niambie ukweli, Jerry kashaoa..?"
 Nilimtega maksudi Nyemo kwa swali hilo baada ya kuona jumba aliokuwa akiishi Jerry.
 Nyemo alisita, akawa kama hajiamini amini jinsi ya kunijibu hivyo akilini mwangu nikawa nimeshajua kuwa atakuwa keshaoa,
 "..hata kama, mie namtaka mdogo wake tu atanitosha.."
 Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimlegezea jicho la kimahaba Nyemo kisha akashuka kunifungulia mlango wa gari nakushuka kama vile mtoto wa mfalme au malkia..
 Kulikuwa na geti ndani yake magari matatu. Masofa ya kisasa, meza za vioo na vistuli vya vioo ndivyo vilivyonichanganya kabisa, hakukuwa na mfanyakazi wa ndani yeyote, nikiwa bado nashangaa shangaa pale sebuleni ndipo macho yangu yakakutana moja kwa moja na fremu kubwa ukutani,
 "..Nyemo..? Huyu si kaka yako Jerry akiwa na mkewe siku ya ndoa..?"
 Nyemo hakuwa na chakunijibu zaidi yakubaki nakigugumizi huku akinitolea macho natabasamu kwa mbali,
 "...Nyemo..? Embu nionyeshe chooni wapi nikajisaidie, nimebanwa na mkojo.."
 Alinielekeza nikaingia japo lengo langu halikuwa kwenda kujisaidia, niliofika chooni tu,
 "..Nyemooo..!! Nyemooo...!!"
 Nilimwita Nyemo kwa makusudi ili aje chooni nilipo, alikuja akagonga mlango wa choo nilichokuwepo, niliufungua kiupande huku nikitokeza kichwa kidogo,
 "..samahani kwa kukusumbua Nyemo.."
 "..usihofu bila samahani.."
 "..Kwenye mkoba wangu niliokuja nao kuna 'Pedi' naomba ukaniletee.."
 Nyemo alionesha kusita kisha akaenda kuniletea, nilikuwa hata 'bleed' sijaanza ila ule ulikuwa ni mtego tu kwa Nyemo..
 "..Chukua hizi hapa.."
 Sikutaka kuzichukuwa kwa muda ule zaidi ya kumshika Nyemo tisheti yake nakumvuta mpaka akajikuta tupo naye chooni tena huku akihema juu juu,
 "...Nyemo usiniogope pliiz.."
 "...mh hapana, Tina chukuwa 'pedi' zako, niache niende.."
 Muda wote Nyemo alikuwa akiangalia kwa pembeni huku akitaka kundoka..
 "...Nyemo mie simtaki kaka yako kwanza anamke na kashaoa..."
 "..Tina hapana, hapana haiwezekani uwe namimi.."
 Nyemo alichoropoka na kunikiambia pale chooni..
 "..hanijui kama naitwa Tina zoa zoa tena bila uoga.."
 Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimfuata Nyemo mpaka sebuleni alipokuwa tena nikiwa uchi wa mnyama na mikononi nikizishikilia zile 'pedi'.. Nilipofika tu sebuleni nilimkuta Nyemo akiongea na simu, sikuingiwa hata na woga kwani akili yangu yote niliielekezea ni jinsi gani nitamkabili handsome boy Nyemo..
 Nilikuwa kama mtu aliyepigwa na butwaa kwa kumshangaa Nyemo mpaka alipomaliza kuongea na simu..
 "..Tina nilikuwa naongea na bro Jerry.."
 "..enh anasemaje..?"
 "..mie nilijua labda mnamahusiano yeyote..?"
 "..si rafiki tu.."
 "..kama ni rafiki basi kaa ukijua bro Jerry alikuwa Temeke kwa wakwe na siyo kwa shangazi, na alikwenda kusuluhishwa na mke wake.."
 "..enh kwa hiyo..? Lakini mie nakutaka wewe Nyemo.."
 "...embu vaa vinguo vyako na tena potea haraka kwani bro Jerry yupo njiani anakuja na mke wake wasije wakakukuta hapa..."
 "...yaani kwa kifupi tu leo hapa Nyemo sitoki mpaka unipe ninachotaka.."
 "..enh enh nini unachotaka kwangu we malaya..?"
 "...hata unitukane vipi Nyemo mie nataka ni sex tu na wewe nitaridhika.."
 Mwili wangu ulikuwa tayari wa moto huku nikijihisi kutokwa na maji maji sehemu zangu za s**i..
 Nilimwangukia Nyemo mpaka miguuni mwake huku nikishikwa na kwikwi si yakiu ya maji wala ya kulia bali ilikuwa ni kwikwi ya hamu ya kufanya mapenzi kwani ninamuda mrefu sijafanya mapenzi na mwanaume na hii yote nikutokana nakubanwa pindi ninaporudi likizo nyumbani kwa wazazi wangu Mwanza..
 "..Nyemo pliz uchukuwe mwili wangu.. pliiz nakuomba uniridhishe.."
 Nilimbembeleza mpaka nikamshuhudia Nyemo naye akilegeza macho kisha akanibusu shavuni kupitia kitovuni mwangu, kisha akazilamba chuchu zangu nakunifanya nisisimke mwili wote.
 Nyemo alikuwa mtundu haswa waj kumlegeza mwanamke kwani pamoja na u 'play gal' wangu nijikuta sina ujanja kwa Nyemo.
 Akiwa ndio kwanza ananinyonya maeneo ya shingoni mwangu ambapo ni hatari sana kwangu kwani huwa najihisi nipo dunia nyingine kabisa, mara tukasikia mlio wa honi ya gari kwa nje, pale pale Nyemo akashtuka nakuvaa suruali na shati lake haraka haraka huku akiniongelesha..
 "..Bro Jerry huyoo.. Atakuwa mwenyewe tu..! Tena anakuja na shemeji dah..!! Dah..!!"
 "..sasa tutafanya...
 Kabla sijamalizia kuongea nilishangaa Nyemo akinibeba mpaka uani yalipopaki magari yakwao kisha akafungua nyuma ya gari (boneti) kisha akanitupia mule ndani..
 "..Nyemo na nguo zangu je..?"
 Aliondoka haraka nakwenda kunichukulia kisha akazitupia naku 'lock' mule nyuma ndani ya gari(boneti),
 "..nitakuja kukutoa baadaye.."
 Aliongea Nyemo huku akiniacha nikipumua kwa shida...

Nikasikia kwa mbaali sauti ya kufunguliwa kwa geti kisha kilichofuata ni sauti ya Nyemo akiongea na mtu, lakini kwa halmashauri yangu ya kichwa niliweza kugundua itakuwa ni sauti ya kaka yake Nyemo.
 Baada ya muda mfupi sikuisikia tena ile sauti. Niliweza kuivumilia ile hali ya hewa mule ndani japokuwa ilikuwa si nyingi sana. Haikuchukuwa muda nikahisi kama gari inaondoka nikiwa bado sijielewi elewi mara simu yangu ikaita kutoka kwenye nguo zangu ambazo nilikuwa sijazivaa.
 Nikaanza zoezi la kuitafuta tena kwa kuufuata mlio wa simu, nikaipata,
 "..hallow.."
 "..yap, Tina? Nyemo hapa anaongea.. Nipo ndani ya gari hapa naendesha nataka nikurudishe chuo kwa hiyo anza kuvaa nguo zako huko huko.."
 "..unasemaje Nyemoo..? Embu nitoe huku mwenzio kuna giza sana halafu napumua kwa shida sana.."
 "..Huko sikutoi na nakurudisha chuoni kwenu, vaa nguo zako haraka haraka.."
 "..kwa taarifa yako Nyemo hapa sivai chochote ni bora unipeleke kwako tu..."
 "..nadhani we utakuwa namatatizo ya akili, mie naishi na wazazi wangu.. sasa kama unajifanya mbishi ngoja nikuoneshe.."
 Hapo hapo Nyemo akanikatia simu..
 Niliendelea kuzubaa ndani ya gari huku nikiwa mbishi wakuvaa nguo zangu na nikiamini kwa asilimia zote Nyemo atanipeleka tu hata kama ni ghetto ili mradi animalizie hii hamu niliyonayo kwa muda mrefu sana.
 Mara nikahisi gari imesimama, sijakaa sawa Nyemo akanifungulia mule nyuma ya gari 'boneti'
 "...haya nimekwambia vaa nguo zako utoke fasta mpumbavu mkubwa wee.."
 "..sitoki.."
 "..unasemaje we malaya..?"
 "..sitoki mpaka unihakikishie kuwa unanipeleka kwako.."
 Nilipotoa tu kauli hiyo Nyemo alioneshwa kuchukizwa nami, aliubamiza ule mlango nilioakuwamo kisha nikashangaa gari kutoka kwa spidi kali.
 Safari iliendelea, joto kali lililokuwa limeanza kuniandama nilijkuta napiga ngumi ule mlango kwa nguvu zote huku lengo langu kubwa likiwa nikumfanya Nyemo atelekeze kile nilichokuwa
 Nakitaka.

***

Mwendo wa taratibu niliouanza kuusikia, nilihisi kama haitakuwa ni foleni basi itakuwa tunaingia huko anaponipeleka Nyemo.
 Kelele za watu zilioichochea zaidi hisia zangu, mara gari ikasimama tena ule mlango wa nyuma niliokuwamo ukafunguliwa giza lilikvwa limeshaanza kuzama na sikuelewa kabisa eneo niliopo,
 "...huyu hapa mtoeni, malaya mkubwa sana.."
 "..niacheni, niachieeeni..."
 Walikuwa ni vijana wa mtaani 'wahuni' ambapo Nyemo alikuwa amewatumia wanitoe mule ndani ya gari,
 Walinivuta kwa nguvu zote mpaka wakafanikiwa kunitoa huku wakinitupia nguo zangu..
 Watu walianza kujaa lile eneo lakini Tina mimi sikuwa hata na mshipa wa aibu nikazivaa nguo zangu kisha nikachukuwa kibegi changu,
 "...Nyemo..? Nyemo
 Mie ndio Tina, ahsante kwa kunidhalilisha.."
 Nilimtamkia hayo maneno Nyemo, aliniangalia kisha akaingia ndani ya gari lake nakuondoka na
 Wake vijana walionishusha kinguvu.. nikaondoka zangu nakufanya ule umati wa watu uliokuwa pale uendelee kunishangaa.
 Njia nzima nilikuwa sijiamini amini kwa kitendo alichonifanyia Nyemo huku nikigeuka nyuma mara mbili mbili,
 "..samahani kaka hapa ni wapi..?"
 Ilinibidi niulize baada ya kunyosha njia kama nisiyoifahamu..
 "..hapa ni mabibo Loyola, kwani we unaelekea waipi..?"
 "..daladala za kuelekea posta zipo wapi..?"
 "..nenda na hii njia moja kwa moja na ukifika mwisho mwa lile geti la shule ya Loyola, utazikuta daladala pale.."
 Niliendelea na safari yangu mpaka nikazikuta daladala za kuelekea posta nikapanda.
 Ndani ya dakika kama arobaini nilikuwa tayari nipo chuoni 'Cbe' nilijitahidi kuweka tabasamu ili kuaficha wenzangu lakini kabla sijaingia geti la 'cbe' simu yangu niliokuwa nimeweka kwenye
 begi ikaingia meseji kwa haraka haraka nikaichukua
 Nakuanza kuisoma..
 '..NIPO NJIANI NAKUJA CHUONI KWENU KUKUCHUKUWA TWENDE KWANGU..."
 Nikaangalia mara mbili mbili kujua imetokea wapi, nikaja kugundua kuwa jina limeandikwa Jerry
itaendeleAa.....

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...