Saturday, October 18, 2014

EPISOD 5 PLAY GIRL STORY YA KIJANJA BOFYA UPATE UHONDO



Ilipoishia...

....pia Jerry akishajua
 amekuambukiza hapo hapo
 lazima akutimue kwake, yani ndio
 mchezo wake huo.."
 "...unasemajeee..?

Endelea...

"..sasa 'aunt' huniamini au..?"
 "..embu chukuwa hela yako nishushe hapa hapa na endelea na safari yako.."
 Maneno makali aliyokuwa amenijaza yule dereva wa bajaj, yalikuwa yameamsha hasira zangu upya, nilimpatia hela yake akaniacha mitaa ya pale 'Ocean road..
 Nilijisogeza mpaka karibia na casino ya 'las Vegas' nikaingia pub moja inaitwa 'Jolly'..
 "..nipe Savvanah dry ya baridi.."
 Siku zote hasira zikinizidia huwa napenda kunywa pombe.
 Mhudumu aliniletea nikanywa, nikaongeza ya mwisho nikanywa nakumpatia hela yake.
 Nilivyomaliza nikaendelea kujikokota taratibu huku nikitafuta uelekeo wa chuoni kwetu. Hakukuwa na haja ya kukodi tena bajaj wala tax japokuwa zilikua nyingi pale nje huku nikiamin hata kama nitakodi yatakuwa tena yale yale aliyoniambia yule wa bajaj muda si mrefu..
 Nikiwa ndio nakaribia kuingia chuoni mara simu yangu ikaita tena huku mlio ukitokea kwenye kipochi changu..
 Haraka haraka nikaichukuwa nakuipokea..
 "..hellow.."
 "..jamani Tina hivi kweli leo umeniacha hivi hivi shosti wangu.."
 "..yaani Aisha ni booora hata ningeondoka na wewe, kwanza hata hivyo nimeshafika hapa hostel nakuja kukupa yaliojiri huko shosti..
 Nilipofika tu nilimtoa Aisha mpaka nje nakuanza kupiga naye stori usiku kutwa huku nikimficha kitendo alichonifanyia Jerry na hata sikumwambia kuwa Jerry kaathirika..
 "Hiyo mbon kazi ndogo tu Tina, we cha maana nipe namba yake ya simu kesho kesho atajuta kilichomtoa pemba nakuja bongo kufanya umalaya wake.., na hivi kesho wikiendi..? Mbona atapatikana tu shosti.."
 Alisema Aisha kwa kujidai huku akinishika mkono nakuingia ndani kulala..

***

Asubuhi na mapema Aisha alikuwa mtu wakwanza kuniamsha huku akiitaka namba ya Jerry.. Nilimpa pale pale akampigia simu,
 "..jamani Jerry yani mara hii umeshanisahau..? Anyway leo mie siendi kazini tunaweza kuonana..?"
 Aisha aliongea na Jerry kwa simu huku akijiamini kwa asilimia zote,
 "..shosti yangu Tina, hili limeshapatikana hapa.."
 "..enhe, kakwambiaje..?"
 "..kaniambia Jioni ya saa 12 tukutane pale 'chaga bite' Namanga.."
 Muda wote tulikuwa tunaisubiri hiyo saa 12 ifike haraka. Hatimaye ilifika na Jerry alikuwa fasta kumpigia Aisha simu, hivyo tukaenda mpaka pale na kumuacha Aisha huku mie nikijificha.
 Haikuchukuwa muda nikaiona gari ya Jerry, hakutaka kushuka hivyo Aisha alimfuata nakuingia ndani ya gari kisha wakaondoka.
 "..ninavyomjua Jerry lazima atakuwa anampeleka kwake tu.."
 Nilijisemea kimoyo moyo huku nikiita bajaj upande wa pili fasta..
 "..unaiona ile gari mbele, ifukuzie mpaka mwisho wake.."
 "..ile si gari ya Jerry mtata, na tena jana usiku alimfanyia visa dada mmoja nikampakiza mpaka 'las vegas' lakini kama atakuwa hajaambukizwa yule? Kwanza kwa Jerry huwa hapon..
 Nilijikaza nakujifanya kama siyo mimi niliyepanda bajaj yake jana usiku..
 "...hayo maswali mengi yanatokea wapi wee..?"
 Nilivyosema tu hivyo akanyamaza kimya huku akiniendesha. Mwendo wa kawaida aliokuwa akiuendesha Jerry kwenye gari lake lililokuwa mbele yetu, ilinifanya kujawa na duku duku rohoni huku nikiamini Aisha atakuwa anafanyiwa kama nilivyofanyiwa jana..
 "..kama hashikwi mapaja basi atakuwa anachezewa maziwa, na Aisha anavyopendaga hivyo mhh.."
 Nilijikuta najiuliza mwenyewe kimya kimya huku hasira zikinizidia kwa kuendelea kuitolea macho gari ya Jerry, mpaka ilipokata kona ya kuingia kwake..
 "..sasa we nishushe hapa hapa.., unanidai sh. Ngapi..?"
"..elfu 3 tu itanitosha.."
 Nilimpa hela yake yule dereva bajaj nakuanza safari ya kuinyemelea gari ya Jerry..
 Giza lilikuwa limeshaanza kutanda hivyo ikawa rahisi kutojulikana Tina mie..
 Kwa namna tulivyokuwa tumepanga na Aisha nikuwa atangulie kuingia na Jerry, kisha afanye kila njia yakumchanganyia Jerry vidonge vya usingizi, iwe kwenye juici au chochote watakachokunywa na akifanikiwa anipigie simu ili niingie ndani..
 Nilijificha pale karibu na geti la kuingilia kwa Jerry takribani nusu saa bila yakupigiwa simu yeyote kutoka kwa Aisha, niliogopa endapo nitapiga mie mchezo wote ungevurugika..
 Muda ulizidi kuyoyoma, nilikaa kama lisaa 1 na nusu ndipo nikapata meseji kwenye simu yangu..
 Kuiangalia imetokea wapi? Naliona jina limeandikwa Jerry, nilihisi vidole vinanitetemeka huku kama presha ya ajabu inaninyemelea..
 "..nilijua tu Aisha kichwa box ona sasa inshu, atakuwa ameshashtuka tu Jerry.."
 Niliusemea moyo huku nikiifungua ile meseji kwa spidi nijue kilichoandikwa mule ndani yake..
 "..KAZI IMESHAKWISHA HUKU FANYA HARAKA UKO WAPI..?"
 Bado nilikuwa sijielewi elewi kwa aliyoituma ile meseji, nilichokifanya nikaifuta ile meseji nakumpigia Aisha ili nipate kujua ukweli wa hii meseji..
 "..enhee vipi shosti umepata meseji yangu..?"
 "..ipi hiyo tena..?"
 "..si nimekutumia hapo kwenye simu ya Jerry, we uko wapi saa hivi..?"
 "..nipo hapa nje karibia na geti la huyo malaya Jerry.."
 "..nisubirie hapo hapo nakuja kukuchukuwa.."
 Ndani ya dakika chache Aisha alikuja kunichukuwa huku kichwani nikijiziba kwa mtandio ili yule mlinzi asinitambue kwani jana aliniona nilivyotoka japo ilikuwa usiku sana. Tulipitiliza hadi chumbani kwa Jerry tukamkuta kalala fofofo hajielewi,
 "..haya jitu lako hili hapa hata halijitambui, nililipa maji haya hapa niliyoyachanganya na vidonge vya usingizi nikaona haitoshi, liliposinzia tu nikaliongeza na sindano ya usingizi hii hapa.."
 "..nakuaminia shosti wangu wee wa ukweli..."
 "...mie ndio Aisha bwana utaniambia nini nishindwe kufanya..? Ila dah Jerry anajua kumuandaa mwanamke kabla ya kufanya mapenzi.."
 "..yeah Jerry anajua kweli, kwani ulimpa..?"
 "..anhaaa we Tina vipi wewe, yani anilegeze vyote nakunijaza minyege halafu aniache hivi hivi tu..?"
 "..hujanijibu vizuri Aisha, inamaana Jerry umesha sex naye..?"
 "..si ndio nakuambia Jerry mtamu, nilimpa kavu kavu aliniambia hana kondomu nikamuelewa.."
 "...Aishaaaaa.."
 "..yani nakwambia Tina, Jerry amenitoa nyege zangu zote.. Tena alinibembeleza nikampa akanifanya na nyuma kabisa.."
 Aisha alinijaza hasira sana, sikutaka kumwambia nilichoambiwa na watu kuhusiana nakuathirika kwa Jerry na makusudi anayof anya kwa wasichana..
 Nilichokifanya nilifungua kipochi changu nakutoa viwembe..
 "..Aisha huyu Jerry si anajifanya kicheche siyo..? Mie nataka nimtahiri kwa mara ya pili hapa..."
 "..mh aha ha ha Tina usifanye hivyo hapa chakumkomoa nikumpa chanjo nyingi kwenye dude lake hili.."
 Aisha alishika ile nanii ya Jerry huku mie nikichanja chanja maeneo ya juu na damu kumtoka nyingi, Jerry alikuwa bado yupo usingizini muda wote huo,
 "mie nayakata haya madude yake tuondoke nayo Aisha.."
 "achana naye kwanza hapo tu alipo usingizi ukimuisha atalia sana nadhani utakuwa mwisho wa umalaya wake.."
 Tulipomaliza zoezi lile lakumchanja chanja Jerry sehemu zake za siri haswa sehemu ya kichwa kile cha juu ndicho nilikichanja chanja haswa.
 Tukatoka mpaka getini lakini mlinzi akatuzuia kutoka..
 "..mbona mnatoka wenyewe..? Bosi Jerry yuko wapi..?"
 Yule mlinzi akaushikilia ufunguo wake wa getini vizuri huku anamuita bosi wake Jerry kwa sauti akienda mpaka mlangoni nakutaka kuingia...

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...