Monday, January 21, 2013

UKUTA WA STENDI YA MABASI UBUNGO WA ANGUKA,NA KUANGUKIA MAGARI 24 YAHARIBIKA

Baadhi ya magari yaliyoangukiwa na ukuta.
Gari aina ya Noah likiwa limegandamizwa na zege.
 Hali ilivyokua tete katika zahama hiyo ya alfajiri ya leo.
Muonekano wa Magari mbalimbali yakiwa chini ya kifusi.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Charles Kenyela alisema kuwa idadi ya magari yaliyopatwa na ajali hiyo yanakadiriwa kufikia 24 ambapo watu watatu wanasemekana wamejeruhiwa.
SEHEMU ya ukuta wa kituo cha mabasi ya kwenda mikoani cha Ubungo, jijini Dar es Salaam, leo alfajiri  umeanguka na kuyaharibu vibaya magari  zaidi ya ishirini yaliyokuwa yameegeshwa nje ya eneo hilo.

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...