Sunday, September 22, 2013

ARSENAL YANG'AAAA KILELENI HUKU MAN CITY IKIIBOMOA MAN U, KWA UHONDO ZAID BOFYA HAPA

Mambo yameendelea kuwa mazuri kwa vijana wa Wenger baada ya kuibuka na ushindi wa goal 3-1 dhidi ya Stock City na kifanya Arsenal kuendelea kuwa kileleni mwa msimamo Lig
Wakati Arsenal wakijikita kileleni  kwa mabao ya Sagna, Ramsey na Mertesaker

Katika jiji la Manchester mambo yamekua mambo baada ya Arguero kuanza kuingoza timu yake DK ya 16, na 47  na baadae Yahya Toure kuongeza la 3 dk ya 45+1 na kuifanya timu hiyo kwenda mapumziko ikiongoza kwa goli tatu.
Ilikua ni dk 50 wakati Nasri akiongeza maumiv kwa Man u kwa kufunga Goal la nne na la mwisho kabdla ya Rooney kunga goal la kufutia machozi kwa Man u dk ya 80.

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...