Thursday, September 12, 2013

MESUT OZIL ATAKIPIGA KWA MARA YA KWANZA JUMA MOSI HII DHIDI YA SUNDERLAND. COME AND CHECK OUT HOW AMIZING HE IS

Friends already? Alex Oxlade-Chamberlain is among the first Arsenal players to meet Mesut OzilTayari marafiki? Alex Oxlade-Chamberlain ni miongoni mwa wachezaji wa kwanza kukutana na  Mesut Ozil
Rosicky raia wa Jamhuri ya  Czech aliumia katika mchezo wa timu yake ya Taifa dhidi ya  Italia ambapo walipoteza kwa mabao  2-1 na sasa yuko hatarini kuukosa mchezo wa jumamosi katika dimba la  Stadium of Light.
Sasa ameacha nafasi ya wazi kwa Ozil kucheza mechi yake ya kwanza akiwa Asernal, licha ya kufanya maziezu ya siku mbili tu na wachezaji wenzake.
New surroundings: Ozil has been pictured at Arsenal's London Colney training ground for the first time
Mzingira mapya: Ozil alipigwa picha akiwa amepozi kwa mara ya kwanza katika uwanja wa mazoezi wa Arsenal wa London Colney
Club and country: Lukas Podolski and Ozil have already combined for the Germany national teamTimu na timu ya Taifa: Lukas Podolski na Ozil tayari wameungana timu ya Taifa ya Ujerumani 
 
Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail
JEMBE la kazi la Asernal, Mesut Ozil limewasili jana na kuanza mazoezi ya kuanza kumtumikia Aserne Wenger anayekabiliwa na uhaba wa washambuliaji kutokana na majeruhi.
Nyota huyo aliyesajili kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni 42 na kuvunja rekodi ya klabu hiyo aliwasili jana makao makuu ya klabu ya Asernal, Colney HQ, jijini London na kuanza mazoezi ya kwanza tangu atoke Real Madrid.
Na Wenger anajiandaa kumtumia kwa mara ya kwanza nyota huyo raia wa Ujerumani katika mchezo dhidi ya Sunderland ugenini jumamosi ya wiki hii baada ya  Tomas Rosicky kurejea akiwa na majeruhi ya mguu kutokea katika majukumu ya timu ya Taifa.

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...