Monday, March 25, 2013

CHIDI BENZI ADUWAZWA NA RETWEET ZA NGWEA, KWA UNDANI ZAIDI VIEW PAGE HII UONE

Baada ya habari kuenea kuhusu ugomvi  uliotokea juzi, kati ya Chidi Benz na Ngwea, mashabiki wameonekana kumshambulia Chidi  kupitia mitandao ya kijamii facebook na twitter huku Ngwea aki retweet baadhi ya comments za mashabiki hao.
Kitendo kimeonekana kumshangaza Chidi na kuamua kuandika 
Ngwea hakuonekana kumjibu ila aliendelea kuandika kile alichokuwa kikiendelea katika akili yake 



Ngwea ameamua ku drop charges, baada ya kufikiria na kuona bora amove on, na maisha yake 
"mi nimesha withdraw na nimeamua kumove on, ni kukaa mbali nae tu" amesema Ngwea

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...