Tuesday, March 26, 2013

MWANAFUNZI AJINYONGA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM) RIPORT HII HAPA


.

Mwanafunzi wa kiume wa mwaka wa pili sheria mwenye umri kati ya 22 mpaka 25 amejinyonga march 25 2013 pembeni ya madarasa chuo kikuu cha Dar es salaam ambapo saa nne asubuhi mwili wake ndio ulikutwa ukiwa unaning’inia kwenye mti, kwenye barua aliyoacha ameandika asilaumiwe mtu.
.

Hizi picha zimepigwa kwa simu.

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...