Friday, March 1, 2013

Madhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa muda mrefu.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiIcrA3GAsKHdwHB7z4Mzz6-ArsQYBEhrlBaQKKwt4sJZnaFKPs64p_fDJRW8190otQUxizy2AbVJ4K_wogLAKXCykbZ3YI2aWUtfSXG2yk2D-ocNyf24yP1_rm7o7twtjOtXFn7xGXV4Qh/s400/In+the+Bed.jpg Habari za usiku wanajf, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya: • Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo, • kupendelea sana kuangalia picha za uchi, • Kusahausahau, • Kupendelea story za mapenzi, • Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke), • Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu), • Kuumwa na kichwa, • Kukakamaa mgongo (wanaume), • Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba, • Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency), • Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno, • Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...