Wednesday, March 13, 2013

MWANAMZIKI BEN POL KUACHIA "BEN POL LOVE CD" KWA AJILI YA FANS WA UKWELI


 Mwanamzuki Benarld Paul a.k.a Ben Pol, anaefanya poa na ngoma yake "pete", ameamua kutengeneza cd ambayo itakua na nyimbo 16, maalum kwa ajili ya mashabiki wa karibu, cd ambayo ameipa jina la "Ben Pol love Cd " akitarajia kuitoa mwishoni mwa mwezi huu "nimeamua kutengeneza cd, sio album, yaani ni collection ya nyimbo zangu mpya pamoja na zile za zamani kama maneno na nikikupata, na kuziweka kwenye cd moja ambayo nimeipa jina la "Ben pol love cd", na hii ni maalum kwa mashabiki wa karibu ambao nitakuwa nikiwauzia pamoja na kuwasaini cd hiyo" alisema Ben Pol licha ya kuwa na album ambayo ina mkusanyiko wa hits karibu zote "maboma" bado ameamua kuachia cd collection na sio album sababu hasa ni nini? "nimekuwa nikikutana na mashabiki na kuniuliza kuhusu album, wakati album ya maboma iko sokoni siku nyingi, sasa nikaona inawezekana kulikuwa na miss information ambazo zilikuwa zinakosekana wakati album hiyo iko sokoni, ndio maana nikaamua nitoe sasa hii cd kwa ajili yao" Ben Pol siku zote sijawahi kuangushwa na ujio wa Ben Pol, mwisho wa mwezi huu, get ready kwa cd hiyo

No comments:

Post a Comment

sikiliza ngoma zinazo kamata kwa sasa

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...